Ushauri: chakula gani kinafaa mbwa umri miezi 2-3

Kwa kila chakula unachompa usisahau kumchanganyia na chakula kidogo special kinaitwa super dog.kwenye maduka ya vyakula vya kuku kinapatikana.atakusaidia kukamata wachawi siku moja .uwanase vibao
 
Mkuu, kama una nafasi au una mtu wa kumhudumia usizoee sana vyakula vya dukani, vya dukani mpe kiasi tu. Usiweke chumvi kwenye chakula cha mbwa, mara kadha mpe nyama mbichi ya mifupa (isiyopikwa). Mifupa hiyo iwe ile ya joint, mgongo shingo na kiuno. Usimpe mbwa mdogo ile mifupa ya mbavu na ile migumu ya miguuni. Waweza pia kumpa ngozi kidogo kama utaipata. Usidhubutu kumpa nyama ya samaki yenye mifupa, mpe dagaa hawana shida.
 
Nilimaanisha weekend ukimya kijana unabadilisha na dagaa litakaa sana. Kutumia mbwa ni gharama imaongelea kama 30,000 kwa mwezi
Kweli dada tena Hiyo 30,000/= aujaweka chanjo za Kila baada YA miezi mitatu minyoo na vitamin na chanjo YA kichaa kwa mwaka.... Na Dawa za kuogesha Kila baada Wiki hapo uombe wasiumwe ugonjwa wowote wa mbwa....
 
Nenda mkojera company limited wapo Tegeta kalibu n kibo complex utapata mchanganyiko mzuri wa chakula cha mbwa
 
KWA USHAURI NA MAFUNZO BORA JUU YA UFUGAJI WA MBWA WA KISASA. TEMBELEA INSTAGRAM ACCOUNT YENYE JINA LA @King_Dawgz
 
huyo mbwa usimdekeze muache ajitegemee umri unaruhusu. btw Jamaa anamzungumzia mbwa mwengine nyie mnamzungumzia mwengine
 
Huyo mbwa ukifanikiwa kumpa vyakula vyote unavyoshauriwa hapa anaweza kufaa kuwa kiongozi wa mbwa wote hapa nchini aisee.
 
Back
Top Bottom