ushaur nimekula mayai kichina mdomo umevimba

bpouz

Member
May 26, 2008
38
9
aisee wadau naomba ushaur nimekula mayai nais ya kichina mdomo lips ya juu unazid kuvimba mda had mda mwenye kujua dawa ya hili tatizo naomba anijuze maana hali inakuwa mbya nisaidien
 
Kwanza ni kwamba nataka ufahamu kuwa umepata allergy. Na kama ni mara ya kwanza baada ya kula mayai yawezekana kutokana na madawa ambayo alikuwa kapewa kuku aliye taga hilo yai. Mara nyingine usi tumie mayai ya chanzo hicho

Kama tiba, unaweza kuanza na prednisolone 10mg x 3 kwa siku kwa siku 3-5. halafu punguza 5mgx3 kwa siku kwa siku 5-7 na uanze kutumia 5mg x 1 kwa siku kwa siku 3. Pamoja na dawa hiyo waeza kuongeza cetrizine 10mg x 1 kwa siku kwa siku 10.
Au nenda hospitali na watakudunga shindano ya Hydrocortison prn. GOOD LUCK
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom