Ushari: CDM tulipe fadhira Arusha

Liame

Senior Member
Feb 5, 2011
125
34
kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza wanachama wote wa CDM ndani na nje ya Arusha kwa ushindi wa kishindo uliopatikana leo hii Arusha..pongezi zangu za dhati ziwaendee viongozi wote wa CDM kwa ngazi zote jijini Arusha kuakikisha kuwa kata zote zinarudi mikononi mwa CDM. natambua nguvu njingi sana zilizotumika kwa upande wa pili.lakini tumesimama kidete kuakikisha tunanyakua kata zote....

nichukue nafasi hii ya pekee kutoa pongezi kwa kamanda LEMA kwa jitihada, mikakati,mbinu zilizofanikisha ushindi huu...mtakumbuka kuwa ndugu LEMA aliamua kuacha posho zote na kupiga kambi arusha,, mtakuwa mashahidi kuwa kwa juhudi zake LEMA amepata misukosuko mengi zilizopelekea kuweka lockup kwa siku kadhaa..mengi yamesemwa kuhusu huyu Kamanda yakiwemo mazuri na mabaya, amediriki kuhatarisha maisha yake yote kwa sababu ya chama....

kwangu mimi namwona LEMA kama simba asiyechoka, mtu jasiri ambae hajawahi tokea Tanzania hii, ni kiongozi mzalendo hata kama ana mapungufu ya kiubinadamu. mimi sina jina zuri linalomstahili huyu kamanda but I dare to say HE IS A GENTLEMEN AND A REAL PATRIOT NOT ONLY IN CDM BUT THE PATRIOT OF THIS COUNTRY....ni wachache na yamkini hatunao wanaoweza kuwa na ujasiri huu na kujitolea kiasi hiki...

nirudi kwenye mada yangu ya msingi....ushindi wa AR umepatikana katika mazingira magumu sana...wote mtakumbuka mlipuko wa bomu uliotokea kwenye mkutano wa CDM wa mwisho na ukapelekea sio tuu uchaguzi huu kuhairishwa lakini kila mtu anafahamu vifo vya watu wanne akiwemo kamanda Judith(Mungu awape raha ya milele huko mliko iko siku tutajumuhika nanyi, na m sure ur happy with the results....ur still with us in vision and mission), na makumi ya watu kujeruhiwa mpaka leo hii wana vilema na maumivu makari sana.....pili kumbukeni hila za Mwigulu Nchemba, Shonza, Mwampamba na ccm kwa ujumla( ingawa mimi nawashukuru sana kwani wanakijenga kila kukicha CDM na kutupa mshikamano),,

1. kitendo cha kumkamata Kamanda Kileo kwa kesi feki ya Tindikari was a weapon to destroy the image of CDM toward this election 2. kitendo cha mwigulu kujaribu kuwahaminisha watu kuwa miongoni mwa mgombea udiwani wa chadema kajitoa ilikuwa ni kuaribu taswira ya chama na kutuvunja nguvu...3. baya zaidi kitendo cha wazee wa kimasai kwa jina la malwayigwana kuwa corrupted na kutoa tamko la kibaguzi ambalo halijawahi tokea tangu uwepo wa nchi hii ilikuwa ni turufu ya mwisho ya kuingamiza Chadema arusha.....lakini pamoja na yote haya wana arusha wamesema CDM yatosha

mapendekezo yangu kwa chama

1. naomba chama kitambue heshima na imani ya wana arusha kwa chama kwa kuakikisha kuwa ahaadi zote alizozitoa mh.LEMA zinatekelezwa na ikiwezekana ndani ya miezi sita ijayo...najua kama chama yamkini mkawa hamna huu uwezo lakini kumbuka tuna watu masikini lakini waliotayari kujikamua kuakikisha kuwa chama kinasonga mbele....naomba kampeni maharumu ya harambee ifanyike katika jiji la arusha na sehemu nyingine(if possible), tuwaombe wale wote walio na mapenzi na chadema. hii michango hielekezwe moja kwa moja kufanya yale yote yaliyohaidiwa na lema au hawa wagombea udiwa wakati wa kampeni.....hata kama sehemu ambayo hatukuhaidi tufanye kitu cha mfano kuonyesha jinsi gani we real appreciate their supports to our part.........mapendekezo yangu katika hili yanenda mbali sana.......tuna watu potential sana ambao recentry wamejiunga na chama na wana ushawishi mkubwa katika jamii...naomba tumtumia PROFESA JAY sasa tupite arusha yote kutoa shukurani na matamasha ambapo kila tamasha husika tuombe wapenda maendelo wote wajitoe na kile kitakachopatikana kiwe ni cha pahari hapo kutatua ahadi zilizotolewa na wagombea wetu....

2. tuzalishe wakina LEMA wengi zaidi( i know we have), mfano kamanda Mawazo, alphoce, Nanyaro na tuwatafute wengi ndani na nje ya AR na tuwape nguvu za kiutendaji na kuwaexpose kwa wananchi ready for 2015....

I CDM I TRUST, THEY HAVE MONEY, MILLITARY BUT WE HAVE PEOPLE.......THROUGH PEOPLE NOTHING IS IMPOSSIBLE THAT WHY TODAY WE ARE CEREBLETING THE VICTORY OF OUR EFFORTS.....I SUBMIT
 
Najibu kama mwana cdm,kuwa tunatambua mchango wa watu wa arusha tena sana,na viongozi wangu naamini wana kitu kizuri wamekiandaa kwa ajiri ya watu wa arusha,mengine kuna wasemaji wa chama watakuja na majibu ya maswali yako mkuu,asante kwa ushauri wako na pongezi zako


We trust in cdm......
 
kumbe gambaz wameshakalia kuti kavu mpaka muda huu kama nilivyotabiri??
 
Kaka paraghaph yako ya kwanza na pili imenitoa machozi!!!. Mi binafsi nashindwa kumuelezea Kamanda Lema kwa namna alivyo lakini itoshe kusema kuwa naungana na wewe katika haya uliyosema "nichukue nafasi hii ya pekee kutoa pongezi kwa kamanda LEMA kwa jitihada, mikakati,mbinu zilizofanikisha ushindi huu...mtakumbuka kuwa ndugu LEMA aliamua kuacha posho zote na kupiga kambi arusha,, mtakuwa mashahidi kuwa kwa juhudi zake LEMA amepata misukosuko mengi zilizopelekea kuweka lockup kwa siku kadhaa..mengi yamesemwa kuhusu huyu Kamanda yakiwemo mazuri na mabaya, amediriki kuhatarisha maisha yake yote kwa sababu ya chama....kwangu mimi namwona LEMA kama simba asiyechoka, mtu jasiri ambae hajawahi tokea Tanzania hii, ni kiongozi mzalendo hata kama ana mapungufu ya kiubinadamu. mimi sina jina zuri linalomstahili huyu kamanda but I dare to say HE IS A GENTLEMEN AND A REAL PATRIOT NOT ONLY IN CDM BUT THE PATRIOT OF THIS COUNTRY....ni wachache na yamkini hatunao wanaoweza kuwa na ujasiri huu na kujitolea kiasi hiki....."
 
vijana wa lumumba mbona hawaonekani humu????????????????
 
iko siku baadhi ya maeneo tanzania yatakuwa kama Arusha na tukipata mikoa saba tu yenye watu majasiri kama arusha lazima ccm wakae maana kichapo kitatoka kila kona
 
Mapinduzi ya nchi hii lazima yaanzie arusha.
Na kama ccm watafanikiwa kuliludisha jimbo hili mikononi mwao basi na kuwanyamazisha midomo wana arusha basi chadema itakuwa imekufa rasmi
 
Tunaanza na Arusha huku jicho letu likiwa ifikapo 2015 Tanganyika yote iwe chini ya Chadema!
 
ni kweli kamanda na naomba tuimarishe M4C hadi vijijini ili tuuwashe moto vizuri na wao Magamba wabaki na ngonjera zao.
 
[JFMP3][/JFMP3]

Waonekane humu wakati wanawaza namna watakavyokosa posho kuanzia leo!!

walivyochapika arusha leo sijui kama watakaa wasahau maishani mwao, kilikua ni kipigo cha mbwa mwizi mkuu.
 
Wazo zuri na kwa kuanzia kuna mawili yanaweza fanyika kujenga hospitali ile ya mama na mwana ambayo hope kiwanja kipo na kujenga ile machinga complex kama sijasahau ni miongoni mwa ahadi za kamanda lema 2010
viva CDM
 
kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza wanachama wote wa CDM ndani na nje ya Arusha kwa ushindi wa kishindo uliopatikana leo hii Arusha..pongezi zangu za dhati ziwaendee viongozi wote wa CDM kwa ngazi zote jijini Arusha kuakikisha kuwa kata zote zinarudi mikononi mwa CDM. natambua nguvu njingi sana zilizotumika kwa upande wa pili.lakini tumesimama kidete kuakikisha tunanyakua kata zote....
nichukue nafasi hii ya pekee kutoa pongezi kwa kamanda LEMA kwa jitihada, mikakati,mbinu zilizofanikisha ushindi huu...mtakumbuka kuwa ndugu LEMA aliamua kuacha posho zote na kupiga kambi arusha,, mtakuwa mashahidi kuwa kwa juhudi zake LEMA amepata misukosuko mengi zilizopelekea kuweka lockup kwa siku kadhaa..mengi yamesemwa kuhusu huyu Kamanda yakiwemo mazuri na mabaya, amediriki kuhatarisha maisha yake yote kwa sababu ya chama....kwangu mimi namwona LEMA kama simba asiyechoka, mtu jasiri ambae hajawahi tokea Tanzania hii, ni kiongozi mzalendo hata kama ana mapungufu ya kiubinadamu. mimi sina jina zuri linalomstahili huyu kamanda but I dare to say HE IS A GENTLEMEN AND A REAL PATRIOT NOT ONLY IN CDM BUT THE PATRIOT OF THIS COUNTRY....ni wachache na yamkini hatunao wanaoweza kuwa na ujasiri huu na kujitolea kiasi hiki.....
nirudi kwenye mada yangu ya msingi....ushindi wa AR umepatikana katika mazingira magumu sana...wote mtakumbuka mlipuko wa bomu uliotokea kwenye mkutano wa CDM wa mwisho na ukapelekea sio tuu uchaguzi huu kuhairishwa lakini kila mtu anafahamu vifo vya watu wanne akiwemo kamanda Judith(Mungu awape raha ya milele huko mliko iko siku tutajumuhika nanyi, na m sure ur happy with the results....ur still with us in vision and mission), na makumi ya watu kujeruhiwa mpaka leo hii wana vilema na maumivu makari sana.....pili kumbukeni hila za Mwigulu Nchemba, Shonza, Mwampamba na ccm kwa ujumla( ingawa mimi nawashukuru sana kwani wanakijenga kila kukicha CDM na kutupa mshikamano),,1. kitendo cha kumkamata Kamanda Kileo kwa kesi feki ya Tindikari was a weapon to destroy the image of CDM toward this election 2. kitendo cha mwigulu kujaribu kuwahaminisha watu kuwa miongoni mwa mgombea udiwani wa chadema kajitoa ilikuwa ni kuaribu taswira ya chama na kutuvunja nguvu...3. baya zaidi kitendo cha wazee wa kimasai kwa jina la malwayigwana kuwa corrupted na kutoa tamko la kibaguzi ambalo halijawahi tokea tangu uwepo wa nchi hii ilikuwa ni turufu ya mwisho ya kuingamiza Chadema arusha.....lakini pamoja na yote haya wana arusha wamesema CDM yatosha

mapendekezo yangu kwa chama
1. naomba chama kitambue heshima na imani ya wana arusha kwa chama kwa kuakikisha kuwa ahaadi zote alizozitoa mh.LEMA zinatekelezwa na ikiwezekana ndani ya miezi sita ijayo
...najua kama chama yamkini mkawa hamna huu uwezo lakini kumbuka tuna watu masikini lakini waliotayari kujikamua kuakikisha kuwa chama kinasonga mbele....naomba kampeni maharumu ya harambee ifanyike katika jiji la arusha na sehemu nyingine(if possible), tuwaombe wale wote walio na mapenzi na chadema. hii michango hielekezwe moja kwa moja kufanya yale yote yaliyohaidiwa na lema au hawa wagombea udiwa wakati wa kampeni.....hata kama sehemu ambayo hatukuhaidi tufanye kitu cha mfano kuonyesha jinsi gani we real appreciate their supports to our part.........mapendekezo yangu katika hili yanenda mbali sana.......tuna watu potential sana ambao recentry wamejiunga na chama na wana ushawishi mkubwa katika jamii...naomba tumtumia PROFESA JAY sasa tupite arusha yote kutoa shukurani na matamasha ambapo kila tamasha husika tuombe wapenda maendelo wote wajitoe na kile kitakachopatikana kiwe ni cha pahari hapo kutatua ahadi zilizotolewa na wagombea wetu.....
2. tuzalishe wakina LEMA wengi zaidi( i know we have), mfano kamanda Mawazo, alphoce, Nanyaro na tuwatafute wengi ndani na nje ya AR na tuwape nguvu za kiutendaji na kuwaexpose kwa wananchi ready for 2015....
I CDM I TRUST, THEY HAVE MONEY, MILLITARY BUT WE HAVE PEOPLE.......THROUGH PEOPLE NOTHING IS IMPOSSIBLE THAT WHY TODAY WE ARE CEREBLETING THE VICTORY OF OUR EFFORTS
.....I SUBMIT

You are right,usingesema haya katika RED nisigekuamini,nigejua hawa ni walewale wazee wa propaganda wa Lumumba akina HAMY-D, Chris Lukosi na wengine wengi humu jamvini!!.........

It's true sisi kama chama hatuna fedha za kuiba toka ktk fuko/hazina ya serikali kama wafanyavyo majangili CCM kwa mitindo mbalimbali,hatuna polisi,hatuna jeshi BUT we are PROUD that we have VERY STRONG POWER through PEOPLE........NGUVU YA UMMA!!

Thank you very much and GOD BLESS YOU!!

 
Mapinduzi ya nchi hii lazima yaanzie arusha.
Na kama ccm watafanikiwa kuliludisha jimbo hili mikononi mwao basi na kuwanyamazisha midomo wana arusha basi chadema itakuwa imekufa rasmi

Baba wa Taifa Mwl Nyerere .hakukosea kuanzisha azimio la Arusha hapa alijua Arusha hakuna wanafiki na wagangia tumbo.historia inajirudia , Chadema peoples power .m4c
 
Back
Top Bottom