Ushamba wa Dar!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,109
2,510
Nasikia Jiji la Dar ndo jiji pekee linaloongoza kwa wingi wa washamba duniani!

Siyo kweli, watu wa D'Salaam wanajiona wajuvi sana hata kama hawajui kitu! Kimtindo hawaivi na machalii wa Arusha kwa vile kila mmoja anajiona yupo juu kimaujanja.

Siyo kweli, watu wa D'Salaam wanajiona wajuvi sana hata kama hawajui kitu! Kimtindo hawaivi na machalii wa Arusha kwa vile kila mmoja anajiona yupo juu kimaujanja.

Inaelekea umezunguka kwingi ndugu yangu, Babukijana kaniacha hoi na msemo wake nimecheka sana!

Hata kama umeishi hapa Dar miaka mingi, ukigongana na mtu mjini ni ushamba, ulikuwa unaangalia nini pembeni kipya? Kweli washamba wako wengi.

Maana ya Ushamba ni nini haswa ?

Ni jinsi ya kuvaa
Kujua/kutokujua kuongea lugha za kigeni? n.k

Ama nini?

Maana ya Ushamba ni nini haswa ?

Ni jinsi ya kuvaa
Kujua/kutokujua kuongea lugha za kigeni? n.k

Ama nini?

Nilipata tafsiri tofauti tofauti kwa watu na nikapata picha moja kwamba wengi walikuwa na maana ya:
1. Kulimbuka kwa njia zote ulizotaja hapo juu kuvaa nguo, cheo, kumiliki gari, aina ya nyumba, life style

2. Kujifanya mjuaji sana ama mzoefu sana kwa mambo flani flani kwa hakika ukweli ni kwamba hajui, hataki kujionesha kwamba hajui kwa wengine!

Nadhan umenipata barabara mkuu!

jay dee aliimba kuwekana kwenye speaker wakati wa kuongea na simu na mpnz,na kusimulia yako na mwandani kwa washkaji pia ni ushamba. anaendelea kushangaa alifikiri kijijini tu ndo kuna washamba,kumbe mjini nako kumo!
kwa kigezo hichi nadhani asilimia kubwa ya vijana na mid-age grp ni washamba

Maana ya Ushamba ni nini haswa ?

Ni jinsi ya kuvaa

Kujua/kutokujua kuongea lugha za kigeni? n.k

Ama nini?

Back
Top Bottom