Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

Sijui hilo,hata wewe huna taarifa ya hilo!Hoja yangu ni kujifanya kwenu hamjui siasa chafu anazofanyiwa Mbowe!Makada wa CCM wanatumika kwenda kufanya fujo kwenye mikutano ya Mbowe!Ushahidi unewekwa hadharani.Ingekuwaje kama hayo yangefanywa na CDM kwenye mikutano ya CCM?Mfano huku kwetu Kasulu,Rais JPM mara ya mwisho kufika ni wakati wa kampeni!Sasa tukisia anakuja,vijana wa CDM wakaenda kupiga kelele kwenye mkutano wake,nini kitatokea?Polisi watawaangalia tu kama walivyofanya kwa Mbowe?
CCM iache siasa za kishamba zisizo na maana,JK alishasema sana hili!Jibuni hoja kwa hoja sio kufanya siasa za kihuni!
Tuwekee hapa huo ushahidi tuuone
 
Mbowe angeweza kupewa kesi hapo na akaja kutoka uchaguzi umeisha mwakani!Bado hatujasahau sakata la Akwilina na jinsi akina Mbowe walivyopewa kesi ya mauaji huku wauaji wenyewe DPP akiwaachia huru kwa kile kinachosemekana ni kukosa ushahidi!
Nimekupata mkuu
 
Wale ni wapiga kura wa jimbo la Hai bwashee.

Maswali aliyoulizwa Mbowe ni ya kibunge siyo ya kichadema.
Sasa vurugu za nini!? Unataka ndio uwe utaratibu wa kuuliza wabunge majimboni uwe vile....

Jiongeze kidogo hata kama unafanya propaganda

Vuta picha yule Waziri msaidizi wa Tamisemi akija huku jimboni Ukonga itakuwaje?

au tunywe bia tu ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uchambuzi wako unajitosheleza kuondoa shaka zote za nani hasa alifanya vurugu kwenye mkutano wa Mbowe

Chadema wapo makini sana. Kwenye uvccm ya Wilaya wana vijana wao. Uvccm wakiunda watsapp group nao wanakuwemo
Hizo screenshots!!??
 
Tangu aingie Ikulu ajawai kufika tena apa kwetu...Basi akija lazma nasi tumzomee
Mvurumisheni, hafai, waajiriwa wake i wapiga kura sio Magufuli wala CCM.

Lazima kuwe na roll calls za jimboni na pia lazima kuwe na minimum numbers ya mikutano jimboni kwa kila mbunge, ama sivyo wakatwe mshahara na posho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom