Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

Wakati hali ikiwa mbaya kisiasa, ni Mbowe ndiyo alibeba jahazi kwa kufika Mwanza na kutaka maridhiano. Hakumaanisha maridhiano ya Rais na viongozi wa vyama, bali Serikali na watanzania kuona namna ya kurejesha/kuimalisha hali ya utulivu wa kisiasa na kijamii. Naamini njia bora ingekuwa ni mkutano wa wazi kati ya taasisi ya Urais na wadau wa vyama vya siasa, wadau wa masuala ya ulinzi na usalama, wadau kutoka taasisi za kiraia ili kupata mawazo na ufumbuzi wa masuala. Wakati unamlaumu Mbowe, kule Jimboni kwake SABAYA katuma vijana wahuni kwenda kuleta fujo kwenye mkutano! Huyu ni muwakilishi wa Rais! Kinachoendelea kwa sasa ni kuzungumzia maridhiano na watu ambao nyuma wameshika upanga. CCM inataka kubeba majimbo yote ya CDM na lile la ACT, ni mpango wa kufuta kabisa CDM iwe kwa DAMU au HILA zozote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza akafuta vyama vingi kama dhamira yake ili atawale mda mrefu kama nyerere lkn hawezi futa upinzani
 
Hivi ingekuwa watu wa chandema wangefanya hivi kwa CCM nini kingetokea?
Wengine wangekuwa ICU wengine wodini na pingu,huku wakingojea kesi ya ugaidi.Hivi wale wa waliokamatwa maandamano ya mange wapo hai kweli? Hatusikii tena baada ya pale
 
Watu wasiache kuwarekodi wahuni na na matendo ya kigaidi yanayofanywa na nterahamwe na kuzituma jumuia za kimataifa links zipo nyingi una google tu ili watupe jicho huku kuelekea uchaguzi
 
dubu,
Labda polisi hawakuwa na taarifa za kiintelijensia ndio maana, wangekuwa nazo wangeandika barua. Safi sana naona Intelijensia yenu iko makini sana. Endeleeni kuitumia kufichua yaliyofichika.
 
Ni aibu iliyoje hii!

CCM kufikia hatua hii toka kwenye chama imara chenye heshima.

Chama cha wakulima na wafanya kazi!
 
dubu hongera sana kwa Kazi njema na ya Kizalendo kabisa ya Kuibua haya mambo ila Mimi nakushauri kwakuwa Wewe unaonekana ni Mtu mkweli, Mzalendo na una Uchungu na yanayoendelea ( ambayo hata Mimi Mzukulu ) nakuunga mkono kwa 100% basi ungeweka kabisa hapa Majina yako Kamili, unakoishi na Namba zako za Simu na hata Email Address yako ili na Sisi wengine wenye Kuona mambo ya Kiuonevu kama haya tuweze Kukutumia na Wewe uwe unatoa kama hivi. Utakuwa umetusaidia na kutuokoa mno Mdau.

Nitashukuru kama nitapata Ushirikiano wako wa Majina yako Halisia na Namba zako za Simu ili niwasiliane nawe haraka nikupe Taarifa nyingine Nyeti kuzidi hii yako ili kwa pamoja tuweze Kuwaumbua hawa Manyang'au.
Mzukulu, hapa mtu yeyote anayo haki ya kupost hayo mambo unayoyaona, usisubiri mtu akupostie.
 
Kwani Mbowe alikua anafanya mikutano ya ndani ya Chama au alikua anafanya mikutano ya wazi Kwa wakazi na wanajimbo wa Hai ?...Pia naomba asisahau yeye si mbunge wa wanachama wa Chadema tuu, so asishangae ata mkuu wa wilaya akifika kwenye mikutano yake na kumlalamikia Kwa utendaji/uwakilishi wake usioridhisha.
Ninaamini ata wanachama wa vyama vingine Wana haki kufika mikutanoni na kutoa kero zao...dawa ni mbunge kuzitolea majibu ya kisayansi..the rest ni Drama tuu.

Ka hiyoni concidence kuwa wanaolalamika wote ni viongozi wa chama tawala tu bila wananchiwa kawaida kulalamika?
 
dubu hongera sana kwa Kazi njema na ya Kizalendo kabisa ya Kuibua haya mambo ila Mimi nakushauri kwakuwa Wewe unaonekana ni Mtu mkweli, Mzalendo na una Uchungu na yanayoendelea ( ambayo hata Mimi Mzukulu ) nakuunga mkono kwa 100% basi ungeweka kabisa hapa Majina yako Kamili, unakoishi na Namba zako za Simu na hata Email Address yako ili na Sisi wengine wenye Kuona mambo ya Kiuonevu kama haya tuweze Kukutumia na Wewe uwe unatoa kama hivi. Utakuwa umetusaidia na kutuokoa mno Mdau.

Nitashukuru kama nitapata Ushirikiano wako wa Majina yako Halisia na Namba zako za Simu ili niwasiliane nawe haraka nikupe Taarifa nyingine Nyeti kuzidi hii yako ili kwa pamoja tuweze Kuwaumbua hawa Manyang'au.
Unamtakia auwawe au wewe ndio wasipjulikana?
 
Hawakufanya fujo ila walienda kuandama kupinga mkutano wa mbowe,
Ukisililiza wanasema mbowe alikuwa aanamtukana magufuri,wakati yeye hajafanya hata kimoja mwenzake magufuri kafanya kitu...

Niliwahi sema mahal tuache siasa za kupinga maendeleo,mbowe mkichunguza amekuwa sana na siasa za kupinga kila kitu
Uchunguzi mwingi nimefatilia sana.

Kila jukwaa analoenda yeye hutukana sana serikal ya ccm badala yakushukuru pia kwa machache yanayofanyika..

Siasa ni hoja za maendeleo.
 
Anapigania demokrasia kama kupigania demokrasia labda kama kupinga udikteta ni matusi hapo sawa
 
Nimeshuhudia clip ambayo imenishangaza, Wananchi wakionesha hasira zao mbele ya Mbunge wao wa miaka mingi, wakidai kutomuona kwa miaka mingi, Hii inanipa mashaka kama Uhai wa Chadema bado upo imara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom