Ushahidi huu hapa ambao ungemmaliza Lema...

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Let me start by cutting through the chest, kusema tu Lema alitukana hakutoshi inabidi uthibitishe kauli yako kwa kuionyesha mahakama jinsi alivyotukana na kwa kuwa jaji na wahusika wengine hawakuwepo the only way unaweza kuthibitisha maneno yako ni kwa kutoa recording tape iliyorekodiwa kwenye mkutano huo au kutoa dvd inayomuonyesha Lema akitukana kwenye mkutano otherwise kusema tu lema alitukana hakutoshi bila kuthibitisha hakutoshi. kwa kutumia maamuzi ya huyu jaji anyone can sued and jailed based on hear say.
 
Wangeleta tape au DVD kama video tape ya mzee Lusinde Kibajaji inayozunguka dunia nzima basi tungekuwa hatuja haja wala sababu ya kulalamika. Hawa watu ni wahuni lakini uhuni wao ni wa darasa la kwanza! Maana it is so obvious and stupid to agree to their logic!! Mtu yeyote akikuchukia akiamua kwenda mahakamani kukusingizia kwamba umemtukana na akatafuta wafuasi wake wa kumsupport basi ina maana inakula kwako! Huo ni uhuni siyo utawala wa sheria and the Judge knows that. Nafikiri if anything huyo jani amejidhalilisha na kuiaibisha mahakama kupita kiasi!!
 
Kwa hiyo na mimi nikapeleka mashahidi kadhaa Mahakamani nikadai kuwa A kanitukana mshtakiwa anapigwa faini tu irrespective of kujitetea kwake? Kwa kweli hapa huyu Jaji simwelewi!
 
Unatakiwa ushahidi kama ule wa Lusinde tulio wekewa hapa jaji anajiridhisha pasipo shaka
 
Ukweli majaji wa Tanzania wanatakiwa wakae kitako na huyu mwenzao ili awaeleze ilikuwaje mpaka akatoa hukumu based on such flawed set of evidence. Lazima uwe na evidence beyond reasonable doubt' vingenevyo heshma ya mahakama na imani ya wananchi kwa mahakama itatoweka. Sio jambo jema kwa taifa.
 
Tutawaonya ccm namna ya zile kesi zinaendeshwa ktk shauri la m.mahanga na deadstone lusinde.
 
Let me start by cutting through the chest, kusema tu Lema alitukana hakutoshi inabidi uthibitishe kauli yako kwa kuionyesha mahakama jinsi alivyotukana na kwa kuwa jaji na wahusika wengine hawakuwepo the only way unaweza kuthibitisha maneno yako ni kwa kutoa recording tape iliyorekodiwa kwenye mkutano huo au kutoa dvd inayomuonyesha Lema akitukana kwenye mkutano otherwise kusema tu lema alitukana hakutoshi bila kuthibitisha hakutoshi. kwa kutumia maamuzi ya huyu jaji anyone can sued and jailed based on hear say.

kama umechoka hebu lala bana.
 
mimi nikajua unataka kuweka humu jamvini huo ushaidi kumbe hamna kitu acha kuweka topic zisiso na mashiko
 
Sio jaji huyo tu ana akili mbofumbofu yuko askofu laizer anadai jaji ametenda haki askofu mzima anasapoti hukumu ya kijinga kisa hela za fisadi lowasa.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwa hiyo na mimi nikapeleka mashahidi kadhaa Mahakamani nikadai kuwa A kanitukana mshtakiwa anapigwa faini tu irrespective of kujitetea kwake? Kwa kweli hapa huyu Jaji simwelewi!

Buchanan nitakupiga BAN naona unaleta ushabiki wa kisiasa .... LOL

Angalia pro-CCM wasije wakaomba ujipe BAN kwa kuhoji credibility ya Judge. Anyway, Judge amejidhalilisha mwenyewe, sasa ni juu ya Idara ya Mahakama kujisafisha na kuonyesha kwamba ni muhimili ambao uko independent. Ngoja tusubiri hiyo rufani na hoja za rufani zitakuwa zimekaaje.
 
Back
Top Bottom