Gelange Vidunda
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 314
- 31
Nimekaa na kufikria sana,nikaangalia uwezo positive na madhaifu ya Kikwete na Membe na kuwalinganisha.
Nimeangalia kauli na matendo ya Benard Membe juu ya Uvamizi wa Libya, Mgogoro wa Malawi na Tanzania na pia Kupeleka Battalion Huko DRC kupambana na M23, nimegundua Membe ana misimamo madhubuti, sio muoga na Hamungunyi maneno kama Kikwete, Bora yeye anaweza kusimama na kutoa maamuzi waziwazi, Kikwete kashindwa kutatua hata Haki ya Kuchinja kati ya Waislamu na Wakristo!!!!
.
NB:Kumsifia huku hakunifanyi nisahau kuwa ana maadui waandishi wa habari na watakimbia nchi 2016!
What BS!
Yeye ni Amri Jeshi Mkuu kutangaza tutaritaliate against M23? Kweli unabase uwezo wa Membe over Kikwete kwa sababu ameshindwa kutoa maamuzi kuhusiana na nani achinje? Really?
What has Membe done for this country? Wilaya yake je?
our whole statement is pathetic really....my opinion.