SoC03 Usawa wa Kijinsia katika Kuimarisha Utawala Bora Awamu ya Sita

Stories of Change - 2023 Competition

Dr James G

Senior Member
Oct 16, 2016
147
242
Ni dhahiri kua mapambano dhidi ya Mifumo kandamizi umekuepo tangu zamanI baada tu ya harakati za kudai uhuru kumalizika, japokua wanawake walikua wakishiriki bega kwa bega na wanaume kudai uhuru lakini walikua wakibaguliwa katika nafasi za uongozi kutokana na mifumo dume iliyokuepo ya kumuona mwanamke hawezi kuongoza au kushika nyadhifa kubwa katika uongozi.

Wanawake wachache walishirikishwa katika uongozi mfano Bibi titi Mohamed na mama Lucy lameck ambaye aliweza pia Kua mwanamke wa kwanza kuingia katika bunge la tanganyika na badae kua waziri, lucy lameck na Bibi titi Mohamed ndio walikua viongozi waanzilishi wa umoja wa wanawake wa Tanu ambayo baadae ilikua chama cha mapinduzi, Bibi Titi Mohamed ndio mwanamke aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni kwa upande wa wanawake ambapo ilimfanya kufungwa jela kwa miaka miwili.

Michango ya wanawake Hawa katika uongozi wa taifa letu ulionesha uwezo wao mkubwa wa kupigania haki na usawa katika jamii, uwajibikaji na utawala bora.

IMG_1023.jpg

#Bibi Titi Mohamed na Mwl Julius Nyerere - picha kutoka google photos.

JINSI, JINSIA, USAWA WA KIJINSIA NA UTAWALA BORA
Maana ya Neno Jinsi ni tofauti ya kibaologia Kati ya mwanaume na mwanamke,wakati neno Jinsia likiwa na maana zaidi ya maumbile ya mwanamke na mwanaume, Jinsia ni hali ya utofauti wa mwanamke na mwanaume kutoka katika jamii wanayotoka, utofauti wa kijamii, kimajukumu, kitamaduni, kimazoea au kujifunza, kutofautiana kilasirimali, kielimu, fursa kiuchumi na kisiasa.

Usawa wa KIJINSIA ni namna au kitendo cha kua sawa katika upatikanaji au ugawanaji wa rasilimali, haki na fursa sawa kwa wote bila kujali Jinsia, katika nyanja zote za kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Katika kuleta maendeleo kwenye jamii yetu ni muhimu kuzingatia usawa wa kijinsia katika masuala yote muhimu yanayohusu mustakabali wa maendeleo ya taifa letu.

Ni ukweli Usiopingika kua usawa wa kijinsia unahusu zaidi kuwawezesha wanawake katika Nyanja mbali mbali Kama vile kiuchumi, kijamii na kisiasa au kiuongozi.

Ushirikishwaji sawa wa wanawake unaweza kuongeza ufanisi wa kuleta maendeleo na kuchochea utawala bora haraka kama ulivyokua katika mapambano ya kudai uhuru, kuimarisha ushirikiano, utatuzi wa migogoro bila uwepo wa viashiria vya rushwa na upatikanaji wa haki pamoja na uwajibikaji .

Wakati wanawake wanapata nafasi za kushiriki au kushirkishwa sio tu taifa litafaidika Bali pia jamii na familia kiujumla.

UTAWALA ni mamlaka ya kusimamia masuala mbali mbali ya nchi katika ngazi zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Wakati Utawala Bora Ikiwa ni matumizi ya mamalaka hayo kwa kufuata uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji kwa watu wote bila kujali Jinsia, kufuata utawala wa kisheria na uadilifu.

Taifa lenye utawala bora lazima litatekeleza ushirikishwaji wa Jinsia zote katika kutoa na kufanya maamuzi ya nchi kwa uwazi, uadilifu na kwa kufuata sheria za nchi husika. Ushirikishwa wa jinsia unachochea ushikamano na hari katika kuleta maendeleo kwa taifa

Ni ukweli kwamba wanawake wamekua na historia nzuri tangu uhuru katika kua waadilifu na kufuata utawala wa sheria hivyo kua vinara wa utawala bora na Wenye kuwajibika,ni mara chache sana kusikia au kuona mwanamke anakosa uadilifu Katika uongozi.

Misingi mizuri ya utawala bora umechochea maendeleo endelevu kwa jamii, matumizi mazuri ya rasilimali za nchi, huduma bora kwa jamii pamoja na Amani na utulivu.

Mbali na utawala bora kuzingatia ushirikishwaji wa jinsia Lakini pia usawa wa kupata huduma sawa kwa wote bila kujali Jinsia, rangi, kabila, ukanda, au tofauti za kiuchumi ni suala la msingi na kuzingatia.

AWAMU YA SITA NA USAWA WA JINSIA KATIKA UONGOZI

Inawezekana Awamu wa sita ikawa ndio Awamu ya kwanza kuongeza au kuimarisha usawa wa kijinsia katika nafasi mbali mbali za uongozi Katika nchi, sio kwamba Awamu Zingine hazikufanya la Hasha lakini utofauti wa Awamu hii ni kua mihimili miwili kuongozwa na wanawake kuanzia serikali yenyewe kama Rais ambaye ndie amri jeshi mkuu wa nchi lakini pia Muhimili wa Bunge Kama chombo cha kutunga sheria na kusimamia serikali.

IMG_0809.jpg

Rais Wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania - picha kutoka TANAPA.

Ndio Awamu ambayo tumeona na kushuhudia kushirikishwa kwa wanawake katika wizara ya ulinzi kwa mara ya kwanza mwanamke aliongoza wizara hiyo kama Waziri.

Lakini pia wizara ya mambo ya nje hadi sasa imeongozwa na wanawake wawili.

Wizara nyingi zinaogozwa na wanawake kama vile wizara ya afya, mambo ya nje, utamaduni Sanaa na michezo, wizara ya tamisemi, ofisi ya Waziri mkuu vijana ajira na Wenye ulemavu, Ofisi ya Waziri mkuu bunge sera na uratibu, wanawake jinsia na makundi maalumu pamoja na naibu wake, naibu wizara ya maliasili na utalii, naibu wizara ya maji, Makatibu Wakuu wa wizara na manaibu, Pamoja na Wakurugenzi wa taasisi tofauti za serikali

Kwa mara ya kwanza serikali iliunda wizara maalumu kwa ajili ya kushugulika masuala ya jinsia na wanawake na makundi maalumu, apo awali wizara hii ilikua sehemu ya wizara ya afya lakini kwa kutambua umuhimu wa masuala ya usawa wa jinsia na utawala bora ni chachu ya kuleta na kuchochea maendeleo kwa haraka katika jamii yetu wizara hii maalumu iliundwa.

Katika kuhakikisha utawala bora wa kisheria unaambatana na ushirikishwaji wa jinsia zote juhudi nyingi zinafanyika kuhakikisha mahakama kama Chombo cha kutoa haki kinakua na idadi sawa ya majaji na mahakimu kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, ambapo tumeshuhudia majaji wa mahakama kuu wanawake Wakifika 35 sawa na asilimia 35 uku majaji wanaume wakiwa 36, ongezeko hilo lilienda sambamba na mahakama ya rufani kwa kua na Jumla ya majaji wanawake 10 sawa na asilimia 38 uku majaji wanaume wakiwa 16.

Dhamira njema ya kuhakikisha usawa wa ushirikishwaji kijinsia unakua ili kua na utawala bora Wenye kufuata sheria na usawa serikali ya Awamu ya sita imejitajidi kuhakikisha kunakua na usawa wa mahakimu ngazi ya wilaya kwa kufikia 50/50 kwa kua na idadi sawa ya mahakimu wanawake 141 na mahakimu wanaume 141.

Hayo yote yanafanyika kwa lengo la kurutubisha utawala bora Wenye misingi Imara ya uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa jinsia, uadilifu, kufuata sheria na usawa wa huduma.

Ni dhahiri wanawake kua kwa muda mfupi na kwa mara ya kwanza nchi imeonesha kua mwanamke anaweza kua kiongozi mkuu wa nchi na kuongoza kwa kufuata utawala bora, usikivu, ueajibikaji na ushirikishwaji.

Jamii sasa imeondokana na dhana potofu kua wanawake hawawezi au hadi wawezeshwe, sasa mwanamke anaweza kujiwezesha mwenyewe na akafanya mambo makubwa ambayo hata mwanaume asingeweza.

Uimarishaji wa demokarsia na uhuru wa kutoa mawazo mbadala kwa kufuata katiba ya nchi umeonesha ukomavu na uvumilivu wa kisiasa chini ya kiongozi mwanamke.

Kwa hakika historia imewekwa na ndoto za mabinti wengi wa kike zimetimizwa kichwani mwao kua nao siku moja wanaweza kuongoza nchi na kua na nafasi kubwa za kiutawala katika nchi yao.

Mapambano haya hayakuanza gafla ni matokea mazuri ya ushirikishwaji wa maamuzi yanayoatakiwa kuanzia chini kabisa kwenye familia, jamii, vyama vya siasa hadi serikalini.

HITIMISHO

Sio kazi rahisi safari bado ni ndefu kuhakikisha watawala wanafuata viapo vya Kulinda katiba ya nchi ili kuendelea kudumisha Amani na utulivu wa nchi yetu.

Pamoja na jitihada nyingi za kuweka usawa katika uongozi na kuimarisha utawala bora bado kuna viongozi wachache wanaokosa uadilfu katika rasilimali za umma hivyo kufanya wanachi kuona usawa wa jinsia katika uongozi kwa nchi zinazoendelea ni suala mtambuka na ni mapema kwa nchi Kama yetu uku wakisahu kua uadilfu wa Kiongozi mmoja hautokani na utofauti wa jinsi yaani maumbile Bali hulka, Mazoea, tabia au tamaduni. Hivyo Kama nchi yenye kufuata utawala bora ni nyema kutii viapo vya uadilifu na endapo itabainika migogoro ya matumizi Mabaya ya rasilimali za umma basi sheria na vyombo husika kufanya kazi yake kwa masilahi ya umma.
 
Attachments

  • IMG_1023.jpg
    IMG_1023.jpg
    11.5 KB · Views: 16
  • IMG_1023.jpg
    IMG_1023.jpg
    11.5 KB · Views: 10
Ni dhahiri kua mapambano dhidi ya Mifumo kandamizi umekuepo tangu zamanI baada tu ya harakati za kudai uhuru kumalizika, japokua wanawake walikua wakishiriki bega kwa bega na wanaume kudai uhuru lakini walikua wakibaguliwa katika nafasi za uongozi kutokana na mifumo dume iliyokuepo ya kumuona mwanamke hawezi kuongoza au kushika nyadhifa kubwa katika uongozi.

Wanawake wachache walishirikishwa katika uongozi mfano Bibi titi Mohamed na mama Lucy lameck ambaye aliweza pia Kua mwanamke wa kwanza kuingia katika bunge la tanganyika na badae kua waziri, lucy lameck na Bibi titi Mohamed ndio walikua viongozi waanzilishi wa umoja wa wanawake wa Tanu ambayo baadae ilikua chama cha mapinduzi, Bibi Titi Mohamed ndio mwanamke aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni kwa upande wa wanawake ambapo ilimfanya kufungwa jela kwa miaka miwili.

Michango ya wanawake Hawa katika uongozi wa taifa letu ulionesha uwezo wao mkubwa wa kupigania haki na usawa katika jamii, uwajibikaji na utawala bora.

View attachment 2646537

View attachment 2646538

nice
 
Nafikiri leo ndo nimeelewa zaidi kuhusu JINSI na JINSIA na nafikiri jamii inafaa kutambua kuwa kiongozi bora sio lazima tuu awe ni wa jinsia ya kiume bali hata wanawake pia wana uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi bora na sio bora kiongozi. Nadhani jamii tungeongezewa elimuu kuhusu hili swala ja JINSI na JINSIA zote na kuww wote tunaweza kuwa viongizi bora.
 
Viongozi wanawake wameonesha uwajibikaji na utawala bora
 
Bravo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Upadate

Benk ya dunia yaipongeza Tanzania kwa utekelezaji wa masuala ya kijinsia ikiwa ni pamoja na kuwaimarisha wanawake kiuchumi.

Pongezi hizo zimetolewa na mkurugenzi wa masuala ya kijinsia wa benki kuu ya dunia Hana Brixi wakati akizungumza na waziri wa maendeleo ya jamii,jinsia na makundi maalumu Dkt Dorothy Gwajima jijini Dar es salaam,julai 27 2023.
 
Back
Top Bottom