Usani usani mtupi

nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
184
hata wana ccm wenyewe hawawezi kuamini usanii uliofanyika dodoma wiki jana. Atamfukuzaje lowasa wakati wa kampeni alidai kuwa ni mtu safi na apewe ubunge?
kama kikwete kamfukuza el sababu ya ufisadi, sasa kwa nini takukuru isimfikishe el mahakamani?
 
Ni rafiki yake hawezi kumwitia kukuru-kakara bora amweke pembeni kwa muda.
Hata RA naye ni wale wale tu
 
Back
Top Bottom