Usaili police garduate

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
MAJINA HAPAO

Tanzania Police Force

Tanzania Police Force

Tanzania Police Force

Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0713 240480, 0783 392277, 0767 571499, 0713 571499, 0789 204377.

update,
kwa taarifa nilizonazo tayari watu wanaendelea na usaili pale chuo cha polisi, kurasini kilwa rd wanaita wenyewe

UPDATES.

Interview ilimalizika lakini kilichowakuta graduates watasimulia wenyewe. Kifupi ilikuwa hivi,
1. waliofika kwa ajili ya usahili graduate mchanganyiko walikuwa 1,400s, waliotokea pande zote za Tz.
2. Siku ya kwanza ya usaili walipimwa afya na mambo mengine
3. walifanya mtihani written, yakapatikana majina 180 hivi kwa ajili ya usaili wa pili. sijajua kwa nini walichukua 180 kati ya 1400s
4. walifanya oral, majibu ndo yanasubiriwa.
 
watarifuni watu,cozi wengi wanashindwa kuipata web yao, na interview ni 24.09.2012-28.09.2012
 
Nimefika hapa Polisi College, kuna watu wengi sijapata kuona.

Utaratibu wao ni kama ifuatavyo.
Leo wanapima afya, urefu, tatoo, kama unangoma. Nawasilisha
 
Nimefika hapa Polisi College, kuna watu wengi sijapata kuona.

Utaratibu wao ni kama ifuatavyo.
Leo wanapima afya, urefu, tatoo, kama unangoma. Nawasilisha

Hii ni kinyume na sera ya utumishi wa umma!!!!
 
Unatoa siri za jeshi tukufu. Tutakuchukuria hatua za kinidhamu baada ya kukugundua kutokana na uchunguzi utakao fanywa na tume turioiunda kukutafuta na kukubaini identity yako. Jiandae kufunngasha virago kabisa.
 
Wakuu kuna mdogo wangu anataka kwenda huko kwenye usaili, hebu niambieni hiyo polisi college ipo sehemu gani??
 
Hiyo recruitment , kuongeza nguvu kuidhibiti CDM watakapochakachua matokeo ya uchaguzi!
 
Wakuu kuna mdogo wangu anataka kwenda huko kwenye usaili, hebu niambieni hiyo polisi college ipo sehemu gani??
ANAKAA WAPI HUYO MDOGO WAKO?
mwambie apande gari za Tandika, mtoni mtongan au mbagala ambazo zinapita KILWA ROAD kisha ashuke JKT au POLISI UFUNDI kisha aulizie police college, ataonyeshwa
 
ivi barua ya mdhamini fomat yake inaandikwaje? na qualification za mdhamini wako ni zp?

kwa mawazo yangu nadhani ni format ya kawaida, yaani mdhamini anaeleza ni kwa kiasi gani anakufaham, basi tu
 
Nimefika hapa Polisi College, kuna watu wengi sijapata kuona.

Utaratibu wao ni kama ifuatavyo.
Leo wanapima afya, urefu, tatoo, kama unangoma. Nawasilisha

vp kwa ambao hatujaenda leo. inakuwaje.
 
mbona haikutangazwa? au ndugu tu ndo wana taarifa

inawezekana ukawa ni mzee au una ajira hukujishughulisha.

Wanaofanyiwa usai leo ni graduates wa kitoka vyuo mbalimbali, wako zaidi ya 1600. wamepatiakana baada ya kujaza selform zilizosambazwa vyuo vyote, na inajazwa na kupitishwa kwa dean of fuculty. hivyo usilete upuuzi wako hapa. na ukigoogle ajira polisi, utapata thread nyingi mpaka utachoka.

soma hapa. https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/325927-usaili-police-garduate.html
 
Ivyo ni vitu vya kawaida sana kupimwa ata JWTZ hupima ivyo!
Angalau wameanza chukua graduates maana kuna polisi huwa nakosa imani na elimu zao kwa maamuzi wanayochukua
 
ambao leo hatujaenda kwenye usaili kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu inakuwaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom