Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 281
Wadau,
Kuna jamaa yangu anahitaji kusafirisha mizigo tajwa hapo juu kwenda sites(minara ya simu) 21 Mkoani kagera... jumla ya mzigo ni kama tani 39...
Inahitajika Kampuni yenye uwezo wa kufikisha huo mzigo ilete mchanganuo wa hiyo kazi..
Seroius people ni-pm ASAP . Hatakiwi mtu kati.
Ahsanteni.