usafiri wa Precion air ni aibu tupu

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,028
2,553
Wana jf,
Katika siku.za hivi karibuni usafiri wa anga kwa kutumia kampuni ya precion air umekuwa kama kituko kutokana na kubadilisha ratiba za usafiri mara kwa mara .Sio siri ni afadhali kusafiri kwa basi kwenda mikoa ya kaskazini kuliko kutumia precion air
 
wanatamaa mno. Kuna ka-ndege kao huwa kanapitia Musoma kila Alhamis kwa kweli kama usafiri ndo huo basi ni kituko. Kwa juu yaani roof ya ndege hiyo imezibwa zibwa na toilet paper kuzuia kama maji au mwanga wa jua.
 
Nilipanda moja toka Mtwara yaani viti vyote ni matambara mabovu mpaka raia wa kigeni wakatikisa vichwa. Mende pia walikuwamo
 
Wana jf,
Katika siku.za hivi karibuni usafiri wa anga kwa kutumia kampuni ya precion air umekuwa kama kituko kutokana na kubadilisha ratiba za usafiri mara kwa mara .Sio siri ni afadhali kusafiri kwa basi kwenda mikoa ya kaskazini kuliko kutumia precion air

Hivi hili shirika kwani watu wake wa kitengo cha huduma kwa wateja huwa hawasikilizi maoni ya wateja wao??? Au ndio ule uswahili wetu wa kulewa masifa ?? (maana walianza kujijengea jina kwa huduma nzuri+ kufa kwa ATCL wakawa wenyewe tuu)
 
Mi ambako 540 inaenda it is my flight of choice na wenyewe wakileta za kuleta napiga chini!
 
niambieni ni wapi hapa nchini utapata customer care ya kuridhisha..na yote ni kwa ajili ya haya ma kampuni kubebwa, kama wangeachwa wafanye kazi kwa ushindani mambo ya kizushi kama haya yangekuwa historia
 
yaani hawa Precision ni ovyo kabisa hasa kule Zanzibar ticket zinauzwa ovyo tu na mkiingia ndani ya ndege seat zinakua zote zina watu na ticket unakua nayo ukienda kulalamika watakuambia subiri nyingine inayokuja yaani ni usumbufu mtupu bora boti za Azam kuliko ndege za Precision pale Zanzibar
 
NDEGE ZA PW ZINA HALI NZURI, na nyingi ni mpya!
Tuacheni uwongo!
Kuna mtu anaongelea flight 402...hii ni kutaka kuwafool watu. Hakuna route iliyo na ndege specific kwa maana kwamba ni ndege hiyohiyo inayoenda route hiyo, zinabadilikabadilika. Leo ni 5hpwc, kesho pwd, siku ingine pwe etc..
Mi ningewaona wa maana kama mngeongelea Hisa za PW!
 
Issue si ndege mpya bali ni kutokuwa na ratiba ya uhakika mkuu
 
Hivi hili shirika kwani watu wake wa kitengo cha huduma kwa wateja huwa hawasikilizi maoni ya wateja wao??? Au ndio ule uswahili wetu wa kulewa masifa ?? (maana walianza kujijengea jina kwa huduma nzuri+ kufa kwa ATCL wakawa wenyewe tuu)

Hawana ushindani hivyo wanafanya watakavyo ila DAWA yao iko njiani..
 
Attachments

  • IMG-20120801-00003.jpg
    IMG-20120801-00003.jpg
    328.8 KB · Views: 108
Back
Top Bottom