Usafiri wa Bus (luxury) kutoka Dar kwenda Nairobi

Goodsize

Member
Dec 5, 2011
55
5
Natumaini kuwa wana Jf wote ni wazima na mnaendelea vizuri. Naomba mwenye inforamation ya usafiri wa road (luxury bus) kutoka Dar kwenda Nairobi with good facility, services na comfortability anijuze. Ikiwezekana naomba nipatie contacts zao. Asanteni sana
 
Kampala coach. Ticket Office Ubungo. Google kampala coach for more information.
 
he he he...utajikeri....mi huwa naenda na 5Y......na kwa taarifa yako nimehamia Kakamega.....

Nilijua amekuchokoza na amekaa kwenye nyumba ya vioo, vipi Preta muzima.

Back to the topic Dar Express mambo yote kwa Dar - Nairobeya, usisahau from Dar to Arusha ni KLM Express pekee.

Nauli kutoka Dar - Nairobi ni Tshs 60,000.00. Arusha to Nairobi ni Tshs 25,000.00 kwa basi la Dar - Express.
 
Dar Express. Ila jiandae kukutana na wafanyakazi wenye nyodo utafikiri hayo mabasi ni ndege.
mkuu sasa hizo chuki binafsi wale watu hawataki ujinga mnaofanya kwenye daladala wako sirious na wateja na wanajali muda, ukiwa mkorofi lazima uwachukie.
 
Mkuu ina maana huijui Kericho ilip
o? Utajiaibisha mkuu! Angalia vizuri ramani yako utachekwa na watu!
Wakuja utawaona tu!
Mambo mengine ni mpaka uwe mwenyeji sana majamvini ndo unayaweza ukayasemea, lakini ukikurupuka tu waweza ishia kuwa kituko...hAPA WENYE KUELEWA weshaelewa, we baki unahangaika na Atlas!!...huh!
 
Back
Top Bottom