Usafiri kwa njia ya Mabasi Tanzania pamoja nauli zake (kutoka UBT na Mikoani)

Dar to lindi 22000 kwa ma bus za saadia, baraka, Dar to mtwara kwa ma bus ya maning nice 26000...pia haya ma bus yako asubuhi na mchana.
 
Dar to lindi 22000 kwa ma bus za saadia, baraka, Dar to mtwara kwa ma bus ya maning nice 26000...pia haya ma bus yako asubuhi na mchana.

Kwa sasa Dar Mtwara kuna route za saa12, saa4,saa5 saa7 na saa9 jioni. Mabasi mapya na mazuri kabisa ya Maning Nice, Machinga Express, 5 Alliance, JM Coach, Hamanju,Baliji Coach( kwenda na kurudi lina route ya saa9), Buti la Zungu. Magari yote haya ni Yutong au Higher. Jambo moja ni kuwa kama basi linaweza kwenda na kurudi kwa kugeuza saa tisa, kwa nini fursa isiongezwe? Kwa mfano route ya Dodoma- Moro- Dar- Mtwara inawezekana gari likaingia saa2 au saa3 tu usiku pale Mtwara/Dodoma na saa11/12 Morogoro au Mtwara kwa route ya Morogoro-Mtwara! Tanga-Dar- Mtwara pia inawezekana na naamini mtu akianzisha atapata wateja wengi tu!
 
Fulsa hiii Dom to Mtwara
 
Mkuu CHAZA,
Pamoja na urefu wa barabara, kitu kingine kinachotengeneza bei ya route ni ubora wa barabara, nature ya barabara (vilima, kona, etc), ubora wa magari yenyewe na ushindani uliopo. Mfano Umbali wa Dar hadi Mwanza ni almost KM 1200 ambao ni sawa na umbali wa Dar hadi Sumbawanga. Sasa huwezi ukaitoa Yutong Dar ukaipeleka Mwanza kwa Shilingi 55,000 alafu Yutong hiyo hiyo uitoe Dar hadi Sumbawanga kwa bei hiyo hiyo ya Shilingi 55,000. Angalia mwenyewe nature ya Barabara kuanzia Morogoro hadi Iringa. Angalia safu ya milima ya Udzungwa ilivyotanda na kona zake jumlisha Mlima Kitonga, alafu angalia na tambalale iliyopo kuanzia Dar hadi Mwanza. Obvious huwezi charge the same. Risk ni kubwa kupeleka Basi Sumbawanga kulinganisha na kupeleka Mwanza.

Aidha, huwezi ukachaji sawa Yutong inayotoka Dar kwenda Dodoma na yale magari ya CHAMPION yanayokwenda Dodoma pia. So kuna vitu vingi vya kuangalia kwa nini bei inawezakuwa tofauti kwa route mbalimbali though umbali ni the same

CC: Adharusi
, Ritz

Nashangaa kwanini Mikoa ya kusini Lindi&Mtwara Nauli kubwa safari fupi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Dar to South africa via zambia, mgabe to bondeni ni sh ngap sasa?

Inataka uzamie Bondeni! Hakuna mabasi ya kwenda huko Taqwa yalikuwa nanaenda hadi Harare ila kwa sasa sidhani kama bado yanaenda nahisi kama yanaishia Lusaka na Lubumbashi
 
Hivi kuna basi la kutoka Monduli hadi Dar? au kwa maneno mengine, mtu akitoka Monduli kwenda Dar lazima alale Arusha?
 
Nani anaupdate ya mabasi kwa kipindi hiki. Dar - Mwanza.
Mabasi yanayoaminika kwa uhakika Wa safari usalama na nauli zikoje?

Kuna basi za luxury?
 
Samahani kama swali hili nimelileta mahali pasipostahili.

Je kuna mabasi yanayosafiri toka Dar kwenda Kigoma kupitia Manyoni, Itigi, Tabora, Nguruka hadi Uvinza?

Sipendi mambo ya kulala Kahama, nasubiri route hiyo.
 
Habiri za weekendi wana bodi,

Msaada wenu pls,nataka kujua nauli ya basi toka Dar kwenda IFAKARA NI KIAC GANI?

Wasalam.
 
sijasafiri mda mrefu ila nauli yake haitofautiani sana na ya Dar - Iringa, japo inategemea na aina ya gari na kiwango cha nauli kilichopo kwa sasa. inaweza kuwa from 16,000 - 22,000, kama zipo luxury zinazoenda huko.

unaenda kusaka life nnnnii
 
Ndio mkuu naenda kusaka tonge.Shukran sana kwaufafanuzi mzuri,umenipa mwanga

Back
Top Bottom