Usafiri kafili ....wakat wengne wanasafiri kwa ndege na magar ya mamillion ya pesa...

lonesome

Senior Member
Oct 10, 2010
195
64
Nyie achen nyie..binadanu wote wana haki sawa ila wengne wanahaki zaid...huwez ukanifananisha mimi na mfanyabiashara yule au mwanasiasa huyu ambaye yeye ...acha ngoja hata nisiseme...unajua inatia uchungu sana....huu ndo usafiri wetu na ndo maana hata ajali haziishi...dereva anakua amekataa tamaa ana mawazo nyumban kwake hajaacha kitu na kamuacha mkewe mja mzito na katoto kake kengne kanaumwa taaban...abiria wanataka kuwah kupita maeneo fulan ambako kuna majambaz so wasipite usiku....but pia wawah kufidia muda wa gari kuharibika njian
 

Attachments

  • DSCN0257.JPG
    DSCN0257.JPG
    652.7 KB · Views: 280
huyu, alikuwa anataka awapelekee kwao picha kuwa siku hizi anaendesha basi kubwa, si unajua tena mambo ya vijijini
 
Khaa ndo maana tunakufa kwenye miajali jamani dereva mwenyewe kachoooka yupo shaghala bagala utadhani mzoa taka:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Buses of such type have turn out to be one of the many nightmares in Tz... and the worst part are them drivers... just looking at him unajisikia kuahirisha safari.
 
Huyo sio dereva na hilo gari limepaki tu hapo, huyo kijana anaweza kuwa alipewa kazi ya kufagia ndani ya hilo basi. Lakini nakubaliana kuwa kuna matajiri wanawapunja sana madereva kiasi ambacho huwafanya wawe na mawazo sana huku wakiendesha gari, na hiyo ni hatari.
 
Back
Top Bottom