Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,555
- 41,067
Wanasema siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.
Marekani na nchi za Ulaya ndio wachangiaji wakubwa wa UNRWA huko Gaza. UNRWA imekuwa ikiwasaidia wapalestina kwa kiasi kikubwa katika kugharamia huduma za afya na matibabu, chakula na makazi.
Sasa Marekani imemtaarifu katibu Mkuu wa UN kuwa inasimamisha kuichangia UNRWA kwa sababu kuna taarifa kuwa wafanyakazi wake 12 walishiriki kwenye shambulio la kigaidi dhidi ya Israel.
Katibu Mkuu wa UN, ameunda Tume haraka ya kufanya uchunguzi, na uthibitisho utakapopatikana, wafanyakazi hao 12 watafukuzwa kazi na kushtakiwa.
Hapo ndipo utakapoona intelijensia ya Israel ilivyo makini. Wakati Israel ikishambulia ofisi za UNRWA, hospitali na baadhi ya shule zinazomilikiwa na UNRWA, kila mmoja alishangaa dhidi ya uamuzi huo wa Israel. Kumbe Waisrael inaonekana walikuwa na taarifa za kutosha kuwa wafanyakazi wa UNRWA kuitumia taasisi hii ya UN kufanikisha ugaidi.
Katibu mkuu amesikitishwa sana na taarifa hii.
U.S. pauses funding for U.N. refugee agency amid allegations staffers were involved in Oct. 7 attacks
The United States is extremely troubled by the allegations that twelve UNRWA employees may have been involved in the October 7 Hamas terrorist attack on Israel," State Department spokesperson Matthew Miller said in a statement this afternoon.
Miller said Secretary of State Antony Blinken spoke with Secretary-General Antonio Guterres yesterday "to emphasize the necessity of a thorough and swift investigation of this matter," adding that Washington welcomes an investigation by the United Nations and its review of UNRWA.
“UNRWA plays a critical role in providing lifesaving assistance to Palestinians, including essential food, medicine, shelter, and other vital humanitarian support,” Miller said. “Their work has saved lives, and it is important that UNRWA address these allegations and take any appropriate corrective measures.
UNRWA investigates staff accused of taking part in Oct. 7 attacks
The head of the United Nations agency for Palestinian refugees said today that it had started investigations into staff who were suspected of being involved in the Oct. 7 attacks on Israel.
“The Israeli Authorities have provided UNRWA with information about the alleged involvement of several UNRWA employees in the horrific attacks on Israel,” Philippe Lazzarini, the commissioner general of the United Nations Relief and Works Agency, said in a statement.
Condeming the attacks and urging the release of Israeli hostages, he said that those found to have been involved would be held accountable and criminally prosecuted. Some had already had their contracts terminated, he added.
Wakati huo huo China imetaka Iran kuhakikisha mashambulizi ya Houthis dhidi ya meli za kibiashara yanatakoma, la sivyo iwe tayari kuharibu mahusiano ya kibiashara na China.
Ifahamike kuwa China na Urusi ndiyo mataifa pekee makubwa yenye mahusiano mazuri na Irani.
China presses Iran to rein in Houthi attacks in Red Sea, sources say
Chinese officials have asked their Iranian counterparts to help rein in attacks on ships in the Red Sea by the Iran-backed Houthis, or risk harming business relations with Beijing, four Iranian sources and a diplomat familiar with the matter said.