USA wizi wa kura; Wabeba watu kwenye Mabasi kupiga kura, Comissioner of elections asema!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,787
Commisioner of Elections wa New York ajulikanye kama Alan Schulkin amerekodiwa akitilia shaka uchaguzi wa USA unavyofanyika, na kwamba kuna voters fraud au wizi wa kura unafanyika USA, kwa maneno yake yeye mwenyewe kwamba watu wanabebwa kwenye mabasi hasa wale masikini na wa daraja la chini kama Weusi, Malatino &Co. kutoka sehemu mbalimbali kupelekwa kupiga kura!
Msikilize mwenyewe!

Haya ndiyo baadhi ya maneno aliyosema!

It’s absurd. There is a lot of fraud. Not just voter fraud, all kinds of fraud . . . This is why I get more conservative as I get older.

While discussing the potential for fraud, Schulkin volunteered that in some parts of the city, “they bus people around to vote . . . They put them in a bus and go poll site to poll site.”

At another point in the conversation, he discussed potential absentee ballot fraud.

“Oh, there’s thousands of absentee ballots . . . I don’t know where they came from,” he said.

Anayehusika na hili ni nani?

Mkuu Barbarosa uchaguzi wa mwaka huu kura zitaibiwa tu iwe isewe nimeangalia wa marekani wengi hasa walioko kwenye social media wanatamani Trump awe rais wa marekani lakini sasa system ya marekani haipo tayari kukubari Trump awe rais wameshamuandaa Clinton awe Rais kwa miaka 4 ili manunguniko ya watu yamalizwe mwaka 2020 ambapo rais atatatoka Republican

Trump analijua hilo lakini anachokifocus sasa ni kuakikisha Republican inathibiti bunge la Sennett ili Democratic wapate wakati mugumu kufanya maazimio yao hasa swala la Syria..

Uchaguzi umekwisha huo ndani ya Siku 20 trump anatakiwa kutafuta 16% ya wapiga kura wakati Clinton anatakiwa kutafuta 6% ya wapiga kura .

Clinton ndio Rais wa marekani that's over kwa garama yeyote.....
 
Kama obama anaakili inabidi nchi aiche mikononi salama na akijaribu kufanya uhuni.
Kwamaana kama trump ataibiwa kura marekani patawakuwa hapatoshi.
 
Trump hawezi kuibiwa. Alishashindwa toka siku nyingi. Toka mwaka jana watu tulisema itakapofikia general elections, sera zake za kibaguzi na za kinafiki hazitakubalika. Watu mmekalia ushabiki na kuangalia media ya upande mmoja tu.
 
Mkuu Barbarosa uchaguzi wa mwaka huu kura zitaibiwa tu iwe isewe nimeangalia wa marekani wengi hasa walioko kwenye social media wanatamani Trump awe rais wa marekani lakini sasa system ya marekani haipo tayari kukubari Trump awe rais wameshamuandaa Clinton awe Rais kwa miaka 4 ili manunguniko ya watu yamalizwe mwaka 2020 ambapo rais atatatoka Republican

Trump analijua hilo lakini anachokifocus sasa ni kuakikisha Republican inathibiti bunge la Sennett ili Democratic wapate wakati mugumu kufanya maazimio yao hasa swala la Syria..

Uchaguzi umekwisha huo ndani ya Siku 20 trump anatakiwa kutafuta 16% ya wapiga kura wakati Clinton anatakiwa kutafuta 6% ya wapiga kura .

Clinton ndio Rais wa marekani that's over kwa garama yeyote.....
Na mimi kwa social media ninazopitia na nilipokuwa huko mwaka huu niliona hawamtaki Trump toka siku nyingi unless unawaangalia wale tu wa mlengo wa Trump ambao utafiti umeonesha base yake ni wazungu wanaume ambao generally hawana college education. Na ndiyo maana wanasema vitu kama Obama alisababisha Sept 11 na conspiracies kibao. Miongoni mwa wasomi ambao ndiyo ninakutana nao mara kwa mara, ni aibu hata kujulikana unamshabikia Trump. Na nitaenda tena karibuni kabla ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom