US NGOs Vs EUROPE NGOs

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,573
Ndugu zangu, napenda kujua kama ni kweli NGOs zinazotoka bara la Ulaya kama Netherland, Uswiss,UK ni bora sana kwa kuwajali wafanyakazi wake kimaslahi kuliko NGos kutoka Marekani ambazo zingi ya hizo zinapata fund kutoka USAID.Mwenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye NGOs zinazotoka mabara tofauti naomba atujuze.
 
over 70% ya bajet ya hizo NGO whether ni za marekani au europe huishia katika mishahara, posho na marupurupu ya safari na vikao vyao. 30% inayobaki ni mishahara ya waswahili na miradi. International NGO is part of outsourcing.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom