Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,023
- 534
- Thread starter
- #21
Maana ya kubashiri ndio hyo, iwe kabla halijatokea, likishatokea inakuwa ni kuripoti tu. Kama viongozi wa Kenya hawataki kupewa tahadhari, basi Intelijensia yao ilipaswa kuliona hilo kabla ya intelijensia za nje. Viongozi wa Kenya walipaswa kutilia maanani hilo onyo na kushirikiana nao.
Ninawapa pole waliofikwa na maafa haya.
intelligenstia namna gani na aina gani hiyo? Wana duru za kuaminika mbona wasielezee kwa uwazi mahali hatari inatokea. Ugaidi sio siri tena lakini hawa agenda yao iko firmly fixed kupoteza ulimwengu kuhusu levels za threats. Nikaelezea jinsi miji yanasambaratika Kule Afrika magaribi kwa ugaidi. Tunakubali kuna threats lakini sasa kublow out of proportions kana kwamba dunia inakwisha kuna maana gani? Movements za wa persian AM haswa MBSA lazima zichunguzwe.