Us- libya releationship

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
429
61
After the killing of the US ambassador to Libya,Chris Stevenes, the US have send the warship and the marine to Libya coast,am not understanding what does the US want to do with them,of course they have all responsibilities to protect his people and crackdown any violence against his territory but in such an incident i think sending the warship will escalate the violence
 
Marekani wamechanganyikiwa. Wale ni wahuni tu waliomuua yule balozi. Sasa unashindwa kuelewa wahuni wale ndo wakupelekea meli 2 za kivita? Unaona yaani hawaelewi hata wachukue hatua gani, alimradi tu waoneshe maguvu yao.
 
ndivyo yalivyozoea mi naona washaanza kusoma alama za nyakati za kupotezwa ndio maana wanatapatapa...:flypig:
 
Marekani wamechanganyikiwa. Wale ni wahuni tu waliomuua yule balozi. Sasa unashindwa kuelewa wahuni wale ndo wakupelekea meli 2 za kivita? Unaona yaani hawaelewi hata wachukue hatua gani, alimradi tu waoneshe maguvu yao.
Mazee wanakwenda KUWASAIDIA tena kuuondoa utawala mbovu! na kuwasaidia waandamanaji wa amani! Ila ukweli ungeliona kitendo walichomtenda balozi huyo hata wewe ungepeleka si manuwari moja bali zote... nadhani wale walioshughulika na balozi ndio walioshughulika na marehemu Gadhafi..

Ila ilisemwa "Mshahara wa Dhambi..."
 
Marekani wamechanganyikiwa. Wale ni wahuni tu waliomuua yule balozi. Sasa unashindwa kuelewa wahuni wale ndo wakupelekea meli 2 za kivita? Unaona yaani hawaelewi hata wachukue hatua gani, alimradi tu waoneshe maguvu yao.

dunia ndivyo ilivyo; wahuni wanaharibu dunia, si umeona yule drug addict wa marekani alivyopost U tupe juu ya Mhamad- the whole arab world wamepandisha maruhani?!, hiindo dunia.
 
Back
Top Bottom