US Has Mandela On Terrorist List

Kweli humu ndani kuna watu wabishi.
Niliwaambia kuwa MANDELA BADO YUKO kwenye listi na asingeweza kuwalaumu wamarekani kwani kwa sheria wangeweza kumkamata tena.
Wao wakawa wanabisha na kudai keshatolewa.
Sasa katolewa mara mbili?
 
Back
Top Bottom