US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

Kijana mitigator naomba nikuulize swali: hivi taifa letu linavurugika kivipi? Shukuru tumepata kiongozi anayefuatilia kazi kisawasawa na kulinda maslahi ya nchi kama marais wa nchi za nje (Marekani na EU). Unaonyesha jinsi gani usivyopenda kuwajibika kwa maandiko yako humu, tambua kuwa wale marais waliopita never cared for you wala hili taifa kwani waliweka maslahi yao mbele na ndiyo maana hawakupenda kuwahamasisha watanzania, waliwaacha mlale ili wao wazidi kufanya yao. Matokeo yake nchi ilikuwa haina muelekeo na ndiyo maana mpaka leo hii watanzania walio wengi wanaona shida kuambiwa kufanya kazi.
Acha unafiki kwamba marais waliopita hawajafanya kitu?Hivi nyie si ndo mnadharau hata wazaz wenu?Kwa hyo unataka kuniambia ktk miaka 20 ya uwazir kwa mh Rais alikua hafanyi kitu?Najua umepewa shibe hivy ni kutoa ushuzi umesau ulikotoka na inawezekana hujui historia ya jiwe
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, Jee wakiamua kutoa rais Magufuli madarakani, jee wataweza?. Jee sisi Watanzania wazalendo wa Taifa hili tutakubali?.

Jana nimesoma nyaraka mbili za EU na US, ambazo kiukweli zimezungumza mambo makubwa, ikiwemo nia ovu ya kumuondoa rais Magufuli madarakani kwa kisingizio cha kujenga demokrasia. Wengi wemejikita katika hoja ndogo ya ushoga, lakini ni wachache sana wenye uwezo wa to read in between the lines, na kubaini the real motive behind, huo ushoga ni sugar cotting tuu ya shubiri iliyomo ndani ya mabandiko haya, ni kumgoa rais Magufuli madarakani! kwa kisingizio cha kukuza demokrasia.
Tamko la EU
European Parliament resolution on Tanzania - JamiiForums
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.

Wamarekani nao wakafuatia Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli - JamiiForums

Huu ni mpango wa kumpindua rais Magufuli kwa kutumia kisingizio cha kukuza demokrasia, jee Watanzania Wazalendo tukubali?.

Sisi Tanzania tumeishazoea kutishwa nyau, sasa hatuogopi tena, kwani Marekani ndio nani? si ni nchi tuu kama Tanzania?, kwa nini watuingilie, watupangie?. Hili barua inampango wa kumuondoa rais Magufuli madarakani kwa mlango wa nyuma. kama walivyofanya kwa Ghadafi na Saadam, kwa kutumia vibaraka kwa mgongo wa human rights defenders.
Tanzania ni nchi huru, a sovereign state. tusikubali, wasitupangie, na wasituingilie, tunachofanya
ndio African democracy, kama vipi, tuwatimue tuu waende tuu na ubalozi wao wafunge, rafiki yetu wa kweli na wa dhati, China si yupo?.
Kwani walipotususa kuhusu ile demokrasia yetu ya uchaguzi huru na wa haki wa Zanzibar na pesa za MCC wakatugomea, tulikosa nini?, si tunadunda tuu, tena ndio kwanza tunajenga my flyover, tunajenga SGR, Stiggler Gorje na kununua midege ya kufa mtu, tena tunafanya yote haya kwa kutumia fedha zetu wenyewe za ndani, hivyo wasitutishe na vimisaada vyao njaa, Tanzania ni nchi tajiri japo wananchi wake ni masikini, ila ni masikini jeuri, waacheni tuu hao wamarekani waseme mchana, usiku watalala, huku Tanzania tukiendelea kudunda kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati tukielekea kuwa a donor country, ile nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima, yatatoa maziwa na asali.

My Take.
1. Marekani na EU wataingilia mambo yetu ya ndani kwa ku fund vibaraka watakaokuwa dissidents na kuleta chokochoko.
2. Wataingilia uchaguzi wetu kwa kutupangia kibaraka wa kuchaguliwa.
3. Watakata misaada yao ili kutushinikiza kufuata mambo yao ikiwemo kuruhusu ushoga.

A way Forward.
1. Tanzania kama nchi huru ili kulinda uhuru wetu, kwanza tukatae misaada yoyote ya US na EU ili kuonyesha hawatuwategemei kwa lolote na badala yake tumtegemee China ambaye ndiye rafiki wa kweli na wa dhati na hata ikibidi kumkabidhi nchi yetu, tumkabidhi Mchina.

2. Tuwafukuze nchini mwetu, EU name US wafunge balozi zao na mashirika yao ya Misa adapter, wafungasha virago vyao warudi kwao.

3. Tuandae the charter of Tanzania demokracy ikieleza shughuli za siasa kwa mwaka mzima ni right kwa chama tawala tuu, vyama vya upinzani ni mpaka wakati wa uchaguzi.

4. Tuirudishe Tanzania kuwa nchi ya chama komoja, mbona China na Korea Kaskazini wameweza na wana maendeleo makubwa, ili kuzuia US na EU wasitupenyezee vibaraka wao kwenye vyama vya upinzani na kuingilia uchaguzi wetu.

5. Japo Tume yetu ya uchaguzi ni tume huru, tuifanye more inclusive ili kupunguza kelele za rafiki zetu wazuri wengine ambao wangependa kuona haki ikitendeka kupitia uchaguzi huru na haki.

6. Tusibadili sheria zetu kuhusu ushoga, bali tutoe elimu ya managing diversity kwa kuelimisha watu wetu kuwa ushoga ni ulemavu tuu kama ulemavu mwingine, watu wanazaliwa nao, hivyo tusiupromote bali tuukubali upo, tuuvumilie na kuwavumilia bila kuwabagua au kuwa nyanyapaa.

7. Tuvimonite very closely vikundi vyote vya utetezi wa haki za binaadamu, NGO's na political activists, wafanye utetezi wao kwa viwango vya Kitanzania with Tanzania democracy na sio vigezo vya kizungu. Mfano mzuri uchaguzi wa rais wa Tanzania, kunakuwa na mgombea mmoja mwenye vingora, state media, state logistic support, state machinery, na watu, fedha, magari ya state yanayobadilishwa number na gharama za state, kushindana na wagombea wengine kwenye uchaguzi huru na wa haki, na mshindi hupatikana kihalali.

8. Kwa vile US wataongeza funds kupitia US AID, tuwamonite funds hizo ziwe kufund shughuli za kijamii tuu na sio political ili wasituingilie mambo yetu ya ndani.

Kinga ni bora kuliko Tiba
Dalili ya mvua ni mawingu.
Mchelea mwiba mguu huo tende.
Chururu si ndo ndo ndo.
Haba na haba hujaza kibaba.
Mchelea mwana kulia, hulia yeye.

Nyaraka hizi ni mawingu, ni mwiba, ni ndo ndo ndo, ni haba na haba, ni kilio tuu cha mwana, jee Watanzania wazalendo wa kweli wa Taifa hili, tusubiri mvua inyeshe, tusibiri mguu uote tende, tusubiri chururu, au tusubiri kibaba kijae, na kusubiri kuja kulia?.

Jumamisi Njema.

Paskali
Update

Asante kwa very objective analysis iliyoshiba hoja.
Mwenye masikio na asikie
P.

ni ujasiri wa hali ya juu
 
AHADI ZA MAGUFULI ZA KUWA DONOR COUNTRY NA KAMA ULAYA (DEAMLINE) - JamiiForums
 
View attachment 1084043

Thank you to Zitto Kabwe for an informative meeting with Deputy Assistant Secretary for East Africa and The Sudans, Makila James! The U.S. government remains concerned that aggressive actions by the Tanzanian Government to limit civil liberties are contrary to the people’s desire for a multi-party democracy based on the rule of law.

#Demokrasia
#WakuuWaUbalozi
Kazi imeanza mdogo mdogo.
Nadhani Tanzania tunahitaji kuwafundisha hawa mabeberu kuhusu African Democracy na Tanzanian Democracy, chama tawala ndicho pekee chenye haki ya kufanya Siasa na kufanya mikutano ya hadhara tena bila vibali under any pretex, be in ni mwenyekiti anapita kote kushukuru, kuahidi na kutoa zawadi za cash kila kona.

Hawa mabeberu wazungu lazima tuwasomeshe na kuwaelimisha Tanzanian Democracy.

P
 
Kama hii ndiyo list na atakuwa kama hao Tanzania hatuhitaji viongozi wa kidikteta . Kuna mzalendo anayepdnda uhuru wake kuchukuliwa?
 
Labda tuitazame kwanza iraq, Libya walipowatoa viongozi waliochaguliwa na wananchi. Je hali ilivyo katika hizo nchi ndio demokrasia yenyewe? Wananchi wa hizo nchi wanatamani mshale wa saa urudi nyuma,viongozi wao wafufuke warudi kuwaongoza. Bahati mbaya ni kuwa hili halitawezekana kamwe. Wataendelea kutaabika na hao wazungu wanajidai hawaoni adha wanayopitia wananchi
 
Wakati wa jk waliwahi kuhoji CCM kuitawala Tanzania miaka yote, tutafurahi na kushangilia Kama sasa ni zamu ya ccm kutuachia nchi yetu
 
Labda tuitazame kwanza iraq, Libya walipowatoa viongozi waliochaguliwa na wananchi. Je hali ilivyo katika hizo nchi ndio demokrasia yenyewe? Wananchi wa hizo nchi wanatamani mshale wa saa urudi nyuma,viongozi wao wafufuke warudi kuwaongoza. Bahati mbaya ni kuwa hili halitawezekana kamwe. Wataendelea kutaabika na hao wazungu wanajidai hawaoni adha wanayopitia wananchi
Sisi hatuna Cha kupoteza,CCM iwepo ni majanga,isipokuwepo tukawa kwenye majanga tena basi hatutakuwa tumepoteza kitu
 
Kazi imeanza mdogo mdogo.
Nadhani Tanzania tunahitaji kuwafundisha hawa mabeberu kuhusu African Democracy na Tanzanian Democracy, chama tawala ndicho pekee chenye haki ya kufanya Siasa na kufanya mikutano ya hadhara tena bila vibali under any pretex, be in ni mwenyekiti anapita kote kushukuru, kuahidi na kutoa zawadi za cash kila kona.

Hawa mabeberu wazungu lazima tuwasomeshe na kuwaelimisha Tanzanian Democracy.

P
Mugabe angeweza kuondoka kwa heshima pasipo mkono wa US/EU
Mzee Mugabe alikuwa na ukwasi mkubwa yeye na mkewe na lile group lililokuwa chini ya Garce. Kulikuwa na uwezekano angewekeza kwenye technology ili uzalishaji wa mazao ya chakula na mbogamboga japo kwa soko jipya la Gulf Countries.

Makosa ya Robert hayana utofauti sana na Al Basihir, mtu anakutwa na fedha taslimu USD 260 mil.
Fedha kiasi hicho angeamua kutengeneza mifumo rasmi ya ajira kwa vijana hata kwa kutafuta mashamba katika nchi zingine ili azalishe ngano na mahindi kwa watu wake, Al Bashir akajisahau.

It should be an awakening call kwa viongozi wetu kuwekeza katika miradi ambayo watu watakuwa sehemu ya uzalishaji ili kutengeneza mzunguko wa fedha kwa haraka. Ikitokea hivyo ni rahisi sana wananchi kuwapigania viongozi.

Nje ya hapo, watu wakiwa na njaa ni rahisi sana kurubuniwa. Esau biblia aliuza haki ya uzawa wa kwanza kwa sababu ya njaa.
Iko haja kuwa na mifumo ya uzalishaji jumuishi na endelevu ili kupunguza watu wenye njaa mtaani hasa vijana.

Msikize Sinek akifafanua dhana ya viongozi jeshini kuwatanguliza wapiganaji wao

Back
Top Bottom