mnyanyaswaji
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 478
- 117
Wayaudi/USA si wanajifanya wako advanced, je hawakuiona hii 'PLOT'??
Dawa ya moto ni moto. Waliuwa sasa zamu yao, na wanapokashifu Mtume basi ndio malipo yao pia
Wayaudi/USA si wanajifanya wako advanced, je hawakuiona hii 'PLOT'??
Mwangosi pia ni US citizen?
Hawa ni REBEL ambao waliundwa na USA pamoja na suport waliopewa sasa wanawageukia wenyewe???
Sasa tuone na REBEL waliopelekwa SYRIA na wao kama kweli wapo kupigania haki ya watu wa SYRIA au USA.
Dunia duara jamani ukizunguka utajikuta umefika palepale ulipoondokea,lets see what is next....
For real America has failed on Libya. Waarabu ni kaka za waisrael so ngoma droo.
Nadhani ni jambo la kujivunia kwa wapigania haki wa Libya anayeuwa naye adhabu yake ni kifo, safi sana hicho ndiyo walichopanda Wamerekani na bado mavuno yatakuwa mengi.
OMG! Libya is at it again!
Gaddafi aliwaambia nchi inachukuliwa na Alkaeda wakfumba mcho kwa tamaa za mafuta.Sasa ni kweli wanavuna walichopanda kwa hakika.
Mama Clinton anazungumza sasa hivi anasema waliofanya hivyo vitendo lazima walipe,na wameshaanza mpango huo wa kuwasaka.Hao sana sana ndo wamewakaribisha wanajeshi wa marekani Libya.Kiukweli wamarekani lazima waende watahakikisha nao wanauwa na kukamata.Hao walibya wajinga sana.Haya ya kuuwawa kwa balozi na staffs wengineyasingetokea chini ya Gaddafi.They could've chose a different path to overthrow him.Wamarekani waliambiwa ni extremists wanamfanyia Gaddafi na kuchukuwa nchi, lakini kwasababu siyo wao walikuwa wanauwawa,basi wakafumbia macho!Hao waliouwa hao wamarekani wanne akiwemo balozi,nadhani hawajui kuwa wamefanya kitu ambacho marekani wanapenda,kwani wanapenda vita na pia sasa ndo watajikita huko vizuri zaidi kwa kigezo cha kulinda watu wake na interests zake.
Mkuu watafanya hivyo mpaka lini? Naona chuki inasambaa kwa kasi kubwa sana hata Africa. Mi nafikirie wajali haki za binadamu kama wanavyosema kwa kumaanisha na wala siyo hizo propaganda zao. Kuna siku itakuwa kama Germany na Dunia kama ilivyokuw vita kuu ya pili ya dunia.