Urusi ni tishio kwa Ulaya na Umoja wa Kujihami wa Ulaya

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Marubani katika meli ya jeshi ya kirusi inayoitwa Admiral Kuznetsov wakifanya mazoezi ya kupaa na kutua katika uwanja wa meli hiyo karibu na mwambao wa uingereza wakati ikiwa katika safari ya kuelekea bahari ya mediteranian.

Taarifa zinasema kuna meli nyingine ya kirusi imetoka Mediterianian kwenda kuungana na Admiral Kuznetsov ili kuzipoteza maboya zile za NATO zinazowafuatilia.

1e779aab2e9af382cdb7bcc831a9281e.jpg
 
VITA ya tatu ya dunia yakaribia bila shaka ........ngoja nyumba yangu niijengee handaki mapema litanisaidia one day
Hakuna kitu kama hio... IN Moscow.. Hawataki vita.. Even Putin hataki vita ila hii yote ni heshima..
Bita ikianza no body will be safe. Hakuna!! Na wanalijua sana hili hapa ni show off tu.
Si unaona Marekani wanapigwa bit na yule kim jong jongolo wa north korea ila wanakaangalia tu hawataki hata shari nako kwa sababu wanajua kana mabomu ya nyuklia
 
Marubani katika meli ya jeshi ya kirusi inayoitwa Admiral Kuznetsov wakifanya mazoezi ya kupaa na kutua katika uwanja wa meli hiyo karibu na mwambao wa uingereza wakati ikiwa katika safari ya kuelekea bahari ya mediteranian.

Taarifa zinasema kuna meli nyingine ya kirusi imetoka Mediterianian kwenda kuungana na Admiral Kuznetsov ili kuzipoteza maboya zile za NATO zinazowafuatilia.

1e779aab2e9af382cdb7bcc831a9281e.jpg
umoja wa kujihami wa ulaya ndio umoja upi huo mkuu?
 
Yaani ni tishio, wakati huo huo anacheza kombolela kuwapoteza maboya wanaomfuatiria!!!!!!!

Si awaache tu wamfuatilie if hakuna wanachoweza kumfanya????,
 
Back
Top Bottom