Urithi Mkuu wa Utamaduni Wetu Kisiasa-MWAKATOBE

Nakubaliana na wewe Kitila,huyu bwana ana matatizo na bahati nzuri sisi wajanja wa huku kyela tumeanza kumchukulia tahadhari.Hiyo makala tayari imeonyesha ni mtu wa aina gani haina haja ya kumjibu.

Nashukuru sana; kwa kweli hata mimi sikuona cha kujibu mle kwenye makala yake kwa sababu lengo lenyewe la makala ni jitihada zake za kujitangaza kwa wazee wa CCM kwamba naye yumo. Sasa mtu kama huyu unamjibu kitu gani. Hata hivyo naona kuna wataalamu wameshamjibu vizuri sana. Hope wapambe wake watampelekea hivi vipande.
 
Back
Top Bottom