Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

kucha bwana ukikwaluzwa nazo maeneo yako yanayokupandisha stimu unaweza ukaingia uvunguni mwa kitanda bila kujijua mi yalishanikuta mwenzenu,ila shanga kwa kweli cfahamu zina matumizi gani
 
Shanga ni urembo tu, pia kucha ndefu, nywele ndefu n.k. ni kwa ajili ya kuwapendezesha mademu ooh! sorry wanawake.
 
Mwanamke 1 aliyejukana kwa jina la Rose, mwisho wa wiki iliypta alitimuliwa na mumewe baada ya kukutwa na rundo la shanga zinazodaiwa aliazima kwa ajili ya kumridhisha buzi wakati wa ku sex, mumewe huyo alizifuma shanga hzo zkiwa zmfchwa chini ya godoro na inadaiwa kwamba alimhuhumu mkewe kuwa amekuwa akizivaa anapokwenda kwa buzi lake kwani hakuwahi kumuona akizivaa akiwa maye wakifanya mapenzi!
 
Hiii ni noma yaani angechunguza vizuri angekuta hata, wife wanamkameroon wakati yeye hajawahi kwenda
kwa Cameroon.
 
Ndio maana mimi sitafuti kilicho kabatini kwa wife, kwenye pochi zake au simu yake. Utakuta vitu vya kukutia presha. Hata ukimwacha karibu wote wako hivyo hivyo. Tulia na unachokiona, usichokiona hakitakusumbua.
Hata sisi bili zetu za vikao vya jioni zingefika nyumbani!!
 
Leo jamanii, ktk maandalizi ya 50 yrs ya uhuru nikasema sio mbaya niwaangalie wanawake miguuni, wengii wa rika tofauti tena ni wafanyakazi ktk ofisi zinazoheshimika za serikali, wengii vikuku, vikukuuu tena hata wali physically ukimwona unampa heshima, ukimwangalia mguuni unabaki mdomo waziii, huku makalioo kabanaaa, yaaani mweee, i'm speechless.

Basi nikatoka nikaenda pista mpya nikapata parking, naelekea supermarket, nikicheki miguuni mambo yale yale ya 071. Kama kawa biashara matangazo. Hii kitu ya 071, kumbe ipo wazi sana, mtandaoo unatumika sana, mtu asilete kupinga hapa mara oohh.

People wanatumia saaaana.... kwa raha... olalaaaa Dar..
 
Acha ujinga . . . . urembo na heshima wapi na wapi?

We sema tu ulitaka tujue una gari na hua unaendaga supermarket.Ila umesahau kuonyesha unaweza kuspell Posta.
 
Leo jamanii, ktk maandalizi ya 50 yrs ya uhuru nikasema sio mbaya niwaangalie wanawake miguuni, wengii wa rika tofauti tena ni wafanyakazi ktk ofisi zinazoheshimika za serikali, wengii vikuku, vikukuuu tena hata wali physically ukimwona unampa heshima, ukimwangalia mguuni unabaki mdomo waziii, huku makalioo kabanaaa, yaaani mweee, i'm speechless.... Basi nikatoka nikaenda pista mpya nikapata parking, naelekea supermarket, nikicheki miguuni mambo yale yale ya 071.... Kama kawa biashara matangazo...
Hii kitu ya 071.... kumbe ipo wazi sana, mtandaoo unatumika sana, mtu asilete kupinga hapa mara oohh... people wanatumia saaaana.... kwa raha... olalaaaa Dar..


Aise wakuu, kwani hii kitu ya 071 ... ndo ni nini tena huko mjini, manake mi mshaniacha kichakani tayari na hayo ma'misamiati...!
 
VIKUKU AU SIJUI VIJOGOO NADHANI NI VITU VYA KAWAIDA TU HAPA DAR........ILA UKIKUTA KAVAA KANISANI KWENYE IBADA Mhhhhhhhhhhh???? nitashituka kidogo.
 
Acha ujinga . . . . urembo na heshima wapi na wapi?

We sema tu ulitaka tujue una gari na hua unaendaga supermarket.Ila umesahau kuonyesha unaweza kuspell Posta.
Daaaah yaani siku zote nilidhani wewe mpole sana!!!!!
 
Back
Top Bottom