Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 4,722
- 14,250
Hii Tanzania ina watu wa ajab sana, wanaotetea uraia wa nchi mbil ni wale waliojazwa upepo et ughaibuni ni land of opportunities... wakafanya walivofanya wakaukana uraia wa tznia, sasa wanalia lia kurudisha njaa tu hapa, wanawekeza nini?
Kina Mengi, Mufuruki, na wengine mbona hawana uraia wa nch mbil? et expertriates., waapii... ni ujuz gani bongo hakuna? ubinafsi tu!
Kama wanataka uraia wa nchi mbili ndo wawekeze tuungane tuseme NO..! huyu MEMBE cjui ana akil gani... uraia ni wa nch moja tu, hata tukiwa shirikisho! matamaa fisi ndo wanaotaka kutuharibia nchi yetu.. et kenya imeendelea kwa uraia wa nch mbili.. ni kufikir ujinga tu, kenya imeendelezwa na wakenya wenyewe, vivyo hivo Tanzania... maana hata kod hamlip Tz alaf ng'a ng'a!
Sisi wenyewe tutaijenga Tanzania na wala hatumsubir raia yeyote wa nch yeyote kutuendeleza..! Tanzania ina mamilionea kibao, Wataalam Weng Tu, sema CCM Haiwatambui, haiwatumii.. sembuse raia wa nch 2! plz BIG NOP.