urafiki wa msichana na mvulana

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Hivi katika maisha ya kawaida mtu anapoanzisha urafiki na msichana au mvulana kuna kitu anakilenga mbeleni,lakini urafiki wa miaka ya karibuni unaonyesha kwamba unapelekea kwenye mapenzi,cha ajabu wasichana wengi ukiwapelekea kwenye topic za mapenzi anadai kuwa muendelee kuwa marafiki hivi hapo urafiki utaendelea kudumu kweli kama topic za mapenzi zimeanza kuchukua nafasi kweli wadau??????hii ni kwa wote wasichana ambao wanataka urafiki wakati ameshatambulishwa issue za mapenzi
 
utakuwa una matatizo tu,kama hajisikii kuwa na wewe ni lazima mvunje urafiki labda kama una mtima nyongo na wivu wa kijinga ndio utshikilia bango lakini kwa wanaojitambua akikataliwa ndo urafiki unadumu.
 
wewe kama unampigisha story za kujenga shule ya kata mtapiga story za shule ya kata, kama za kula mzigo hivyo hivyo story zitakuwa zinrindima , so we normal dance according to the tune.
 
Urafiki wa mwanamke na mwanaume upo endapo nyote wawili mnaintention ya kuwa marafiki tu. Asnam, upo, mic u.
 
utakuwa una matatizo tu,kama hajisikii kuwa na wewe ni lazima mvunje urafiki labda kama una mtima nyongo na wivu wa kijinga ndio utshikilia bango lakini kwa wanaojitambua akikataliwa ndo urafiki unadumu.

Nani kakuambia unisemee mawazo yanguuuu....!
 
Back
Top Bottom