Upuuzi wa Masoud Kipanya

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Kuendelea kwa mgomo wa madaktari hata abiria nao wako makini katika kupanda vyombo vya moto kwakutokuja nini hatima yao endapo itatokea ajali!
Mgomo wa Madaktari na Upuuzi wa Masoud Kipanya.jpg
 
Ehe hii kali ya mwaka!!!!!! Hakuna kitu kinaitwa Helmet hapo.

Tiba
 
Huyu Kipanya naye na :photo: zake.

Hii mizigo mingine inabidi ibebwe na FUSO yeye anabeba kwa Pikipiki; hawafiki mbali lazima ajali itokee kwa sababbu abiria amekaa vibaya na kumkumbatia dereva, lazima atachanganyikiwa tu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom