Uchaguzi 2020 Upotoshaji wa makusudi dhidi ya Tundu Lissu

Kusema Lissu anahutubia Arusha na wakati yuko kweli Arusha anahutubia uongo au uchochezi wake ni upi ?
Kampeni za Lissu zimefungiwa kwa siku saba kwa sababu ya yeye kutokuheshimu maadili ya uchaguzi kwa kitendo chake cha kutoa taarifa za uongo zinazolenga kuigombanisha tume na wananchi, hali ambayo inahatarisha amani ya nchi yetu.
 
Si kweli mkuu , wewe kwanza hukuwemo humu kwa muda mrefu sasa huu uzushi umetoa wapi ? JF haiwezi kuwa kama Uhuru FM na siku ikiwa hivyo tutatoka tu
JF is where we dare to talk openly mkuu. Uhuru unaenda sambamba na wajibu. Mods wanajitahidi saaaaaaana.
 
Kampeni za Lissu zimefungiwa kwa siku saba kwa sababu ya yeye kutokuheshimu maadili ya uchaguzi kwa kitendo chake cha kutoa taarifa za uongo zinazolenga kuigombanisha tume na wananchi, hali ambayo inshatarisha amani ya nchi yetu.
kwamba hata kampeni alizofanya kwa siku zote zile zimefungiwa , unataka kusema JF ni wakala wa TUME ?
 
Mkuu, tuendelee kupost vitu vyenye manufaa kwa nchi yetu. Tuwape Mods support wailinde image ya JF.
Yaani Mods waogope nyuzi za CHADEMA hata zilizo live huko ndio kulinda image kwa namna gani, hata taarifa ya Lissu kusali Azania Front nayo ukiiondoa unalinda image ya JF? Hii kwangu ni mpya sana!
 
Yaani Mods waogope nyuzi za chadema hata zilizo live huko ndio kulinda image kwa namna gani , hata taarifa ya Lissu kusali Azania Front nayo ukiiondoa unalinda image ya jf ? hii kwangu ni mpya sana !
Mkuu, Lissu kampeni zake zimefungiwa. Kuonyesha live shughuli zake za kujinadi kwenye maeneo mbalimbali ni kuvunja sheria.

Tuheshimu sheria za nchi yetu. Tunayo nchi moja tu. Tuitunze. Tukiiharibu hatuna kwa kukimbilia.
 
Mkuu, Lissu kampeni zake zimefungiwa. Kuonyesha live shughuli zake za kujinadi kwenye maeneo mbalimbali ni kuvunja sheria.

Tuheshimu sheria za nchi yetu. Tunayo nchi moja tu. Tuitunze. Tukiiharibu hatuna kwa kukimbilia.
uko nje ya mada na wala hujaelewa ninachozungumzia , hongera kwa kufanikiwa kunipotezea muda
 
Ni ujinga ukiotukuka kwa CCM kutaka kutuaminisha kwamba adui wao CCM ni adui wa Taifa kitu ambacho sio kweli.Adui no.1 wa Taifa hili ni CCM ya sasa.Mwalimu Nyerere alikuwa akituambia maadui wa Taifa ni ujinga,maradhi na umaskini.Serikali Ya CCM ya sasa imetupeleka kwenye hayo Mambo matatu(yaani ujinga,maradhi,umaskini)=Adui wa Taifa.
 
Wewe loloma uwezavyo lakini Mwalimu Nyerere alisema, "I can't let my country go to the dogs!". Alimaanisha akina Lissu. CCM ipo kuhakikisha kauli ya Mwalimu Nyerere inaenziwa!
 
Wewe loloma uwezavyo lakini Mwalimu Nyerere alisema, "I can't let my country go to the dogs!". Alimaanisha akina Lissu. CCM ipo kuhakikisha kauli ya Mwalimu Nyerere inaenziwa!
We hujui hata unaongea nini tulia Una mquote Nyerere kwa uozo na je Aliyesema CCM si mama yangu alikua ni nani?

MATAGA mnaropoka tu ungejua Nyerere angefufuka leo angewakana kama Yesu alikua hapendi watu wanaojipendekeza kama wewe.
 
Hilo la kutumwa na mabeberu Wala halina mashiko tena, kutetewa na mawakili kila mtu anahaki ya kutetewa tena kwa kesi ya kuumia kwa risasi hata mawakili wa kujitolea wanajitolea tu na hapo ndo linakuja swala la kuchimbua chanzo, hata sasa wanaopotosha na kuonyesha ishara yoyote ya kumkandamiza ndo wanawaongezea wanaomtetea kuwapa ushahidi wakumuonea kikubwa tukae naye kwa kumpa support Kama sisi ni wamoja.
 
Back
Top Bottom