Kwa hapa TZ asilimia kubwa ya mapolisi ni wale either waliofeli shule au wanaingia upolisi baada ya channel zote za maisha kugoma. Utamsikia mzazi anamwambia mtoto wake, we cheza na shule utaishia kuwa upolisi au jeshi!!!! Kutokana na hili TZ ina mapolisi wasiojua majukumu yao ya kulinda raia na mali zao, badala yake wamekuwa watu wenye hasira na stress kiasi kwamba kuua raia ni moja ya njia ya kujipunguzia stress za ukali wa life.
Nchi nyingi upolisi ni kazi ambayo huipati hivi hivi au eti kwa vile ulifeli, wanazingatia sana vigezo ndo maana si rahisi kusikia upuuzi kama wa polisi wa tz. Serikali izingatie hili, vinginevyo polisi ifutwe coz haina maana na sio msaada tena bali kero.
Nawasilisha. Critiques zinaruhusiwa.