Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,854
kadiri siku zinavyo enda mbele ndivyo magonjwa yanavyo ongezeka.
Mtaani kwenu kuna kijana mmoja amepofuka macho, eti alikumbwa na presha ya macho.
Ndugu waungwana naomba mnijulishe, presha ya macho inasababishwa na nini? Na kwa njia gani twaweza kujikinga nayo?