kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kesi ya mauaji hasa katika mazingira ya kile kilichotokea Mtwara tulitegemea vyombo vya habari viwe na picha za kufikishwa Mahakamani na kufunguliwa mashtaka wahusika lakini Hadi Leo tofauti na taarifa ya RPC hakuna uthibitisho mwingine wa independent part katika kesi hii. Je angekuwa raia wa kawaida kungekuwepo na usiri kama unaondelea?
Kama Yupo aliyeshuhudia atuwekee uthibitisho hapo ili tuweze kufuatilia kesi hiyo kujua nini kilitokea Hadi mauaji yakatokea.
Tusipoweka uwazi kisa iliwahusu askari hakutakuwa na umuhimu wakutoa taarifa za matukio ya kiraia yanayotokea maana itaonyesha hakuna usawa katika kukabiliana na uhalifu.