Upishi wa mlenda

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,308
14,207
Mahitaji:

1- Bamia kilo 1
2- Nyanya 2
3- Nsusa
4- Ntwili
5- Kitunguu 1
6- Magadi

Namna ya kupika katakata bamia nyanya na vitunguu vichemshe huku unachanganya na magadi baada ya hapo weka ntwili Kisha malizia na msusa acha vichemke kwa dakika Kama 5 Tia chumvi yako mlenda utakua tayari.

Pishi letu hilo unaeza kula na ugali au wali

FB_IMG_16279126286263965.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom