Upinzani sasa Tufanye nini?

Kuna hii habari ambayo JF wameamua kuifungia:
Rais Jakaya Kikwete aiweka nchi rehani kumuokoa mwanae asinyongwe China.


September 7, 2012
Ningumu kuamini lakini ni UKWELI
Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed
Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,
Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.
Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,
Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,
Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.
Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong,
Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.
Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni “Now we are going to Africa”, ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk.
Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.
Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz.
Taarifa hii ni yakweli mimi nilikuwemo kwenye msafara huo,
Hutaki unaacha, hulazimishwi kuamini.
Source ni mimi mwenyewe.
Jason Bourne

wewe ni mbeya muongo mzushi na mzandiki,kafie mbali,kwa style hii mtaendelea kushindwa kila chaguzi
 
Kama hiki ndicho mnachokiwaza CCM mbinu yenu imeshindwa hata kabla haijaanza, 2015 CCM ni out hata ikibidi kwa Military option. kaeni na kudanganyana na hizi chaguzi za kata, ila subirini hawa watoto waliokuwa under 18 watakaposajiliwa kwenye daftari jipya ndio mtalijuwa lile bomu alilolisema Lowasa.

sio lazima kila anaetofautiana nawe awe CCM.
Sinaga chama.
Ila ujue 2015,chadema mtaambulia labda viti vya ubunge mia ,urais sahau ndugu yangu.
Kama ulitumia hadi ngawira zako kwenye kampeni za CDM ,Hesabu maumivu hazitarudi ndugu yangu.
 
Slaa ndio anaua CDM,fukuza huyo babu halafu weka jembe Zitto, hizi kelele zingine hazina faida yeyote.

kama mnaona ni tatizo,hakuzaliwa akiwa Chadema,na hakuna palipoandikwa atakufa akiwa Chadema.Mbona anawasumbua akili,bila kutaja jina lake hamuoni kama mmeongea.
 
Kwenye RED ya kwanza utapata shida sana kunielewa kwa sababu mimi siku zote nasimama kwenye kweli tu.

Kwenye RED ya pili hizi ndizo porojo nisizotaka kuzisikia, na sijui hapa unanijibu hivi kwamba wewe ndio Mkurugenzi wa Fedha wa Chadema au lah!

Uchaguzi mkuu uliopita nimetumia pesa zangu binafsi nyingi sana, na tulimsaidia sana Mpendazoe na mgombea Udiwani wa kata yangu, sikuona msaada wowote wa Chadema, kama siyo sisi yule mgombea alitamani kujiotoa lakini tulimpa moyo na kumuwezesha.

Kila mkutano tulikuwa tunatumia wastani wa mpaka shilling laki tatu kwa ajili ya matangazo, vyombo vya muziki na gharama nyinginezo, tukubali kutokukubaliana, hivi kile kijumba pale kinondoni ndio kina hadhi ya kuwa Chadema Head quoters? labda kama una point nyingine.

Usamehewe.
 
Kwako Mama Josephine
Ki ukweli hata mimi matokeo haya yamenivunja nguvu kiasi,lakini tusikate tamaa,hivyo basi kama mwanaCDM,nashauri yafuatayo:

  • Ni lazima sasa CDM kiwe na TELEVISION yake,ambayo itakuwa na wajibu wa kutangaza chama muda wote na kupashana khabari kwa urahisi,kuhusu suala la kwamba itazuiliwa na govt,hiyo siyo kweli,sisi tujitahidi kufanya kadili ya sheria za kuanzisha vyomba vya khabari inavyosema,wakiizuia,leteni taarifa kwa UMMA,tumeweza suala la katiba,kwa nini hili jepesi linatushinda?
  • Pili,suala la kuandikisha wapigakura liangaliwe,ikiwezekana liwe suala endelevu,mbona vizazi na vifo linafanywa kila siku,tulipiganie hili ikiwezekana liingizwe kwenye katiba mpya,
  • Tatu,mbona baadhi ya wabunge huwa hatuawasikii kwenye kampeni kila siku ni walewale tu V.Nyerere,Sugu,Msigwa,Natse na baadhi,wengine vp,..
  • Kila mwanachama achangie kwa hali na mali kupitia njia mbalimbali kwani kampeni ni gharama(mimi nilishaanza)
  • Ile mikoa ambayo bado mf Tanga,Dodoma,Singida,Tabora,Moro ipewe msisitizo
Tulianza na Mungu/Allah tutamaliza na Mungu..people's power
 
kama mnaona ni tatizo,hakuzaliwa akiwa Chadema,na hakuna palipoandikwa atakufa akiwa Chadema.Mbona anawasumbua akili,bila kutaja jina lake hamuoni kama mmeongea.

hata mama lowasa siajcu nae hulalamika mmewe kila kukicha kusemwa humu jf.
HIZO NDIO GHARAMA YA KUWA MWANASIASA BORA UZOEE TU.
Atasemwa sana tu.
 
kama mnaona ni tatizo,hakuzaliwa akiwa Chadema,na hakuna palipoandikwa atakufa akiwa Chadema.Mbona anawasumbua akili,bila kutaja jina lake hamuoni kama mmeongea.

Kuwa mvumilivu mama junior, Mr kaingia kwenye siasa lazima watu wamjadili mama Salma, kila siku humu mume wake JK watu wanamchana lakini katulia, mke wa Lowassa naye kavumilia, mke wa Mtikila naye
kavumilia..
 
Kuwa mvumilivu mama junior, Mr kaingia kwenye siasa lazima watu wamjadili mama Salma, kila siku humu mume wake JK watu wanamchana lakini katulia, mke wa Lowassa naye kavumilia, mke wa Mtikila naye
kavumilia..

Tafadhali,

usimfananishe Josephine na yeyote,mchukue kama alivyo na madhaifu yake,mkosoe,na mshahuru but never and i say never compare.
 
[h=5]Sikia haya,ndiyo maana tunahitaji tume huru.

Tume ya TAIFA ya UCHAGUZI NEC, ituambie ni kwa nini idadi kubwa ya watu waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura hawapigi kura,

kwa mfano,

waliojiandikisha kata ya daraja mbili(Arusha mJini) ni zaidi ya 16000 lakini waliopiga kura hawazidi 3800, hao 13000 wamekwenda wapi?
[/h]
 
So Hao vijana wote ambao hawajaandikishwa unauhakika gani kua watakuja kupigia CDM wote .?ikiwa Leo wapo waloandikishwa na hawaipigi.unataka kuniambia kua watu waliopiga kura jana ya madiwani vijana hawakupigia ccm na vyama vingineo ila wote walipigia CDM ?!
Wengi ni wazee Kama wewe
 
kama mnaona ni tatizo,hakuzaliwa akiwa Chadema,na hakuna palipoandikwa atakufa akiwa Chadema.Mbona anawasumbua akili,bila kutaja jina lake hamuoni kama mmeongea.
hivi hili jukwaa mbona unapwaya sana kwanini usiende kwenye jukwaa la urafiki,mapenzi na mahusiano ?.
Aliyekwambia dereva wa hakimu naye ni hakimu ni nani ?
 
[h=5]Sikia haya,ndiyo maana tunahitaji tume huru.

Tume ya TAIFA ya UCHAGUZI NEC, ituambie ni kwa nini idadi kubwa ya watu waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura hawapigi kura,

kwa mfano,

waliojiandikisha kata ya daraja mbili(Arusha mJini) ni zaidi ya 16000 lakini waliopiga kura hawazidi 3800, hao 13000 wamekwenda wapi?
[/h]

dr. Ana kazi ?
Fikra zako ndo hizi ?
 
[h=5]Sikia haya,ndiyo maana tunahitaji tume huru.

Tume ya TAIFA ya UCHAGUZI NEC, ituambie ni kwa nini idadi kubwa ya watu waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura hawapigi kura,

kwa mfano,

waliojiandikisha kata ya daraja mbili(Arusha mJini) ni zaidi ya 16000 lakini waliopiga kura hawazidi 3800, hao 13000 wamekwenda wapi?
[/h]
Kwani ukijiandikisha lazima ukapige Kura?!wengine wamekufa ,wengine hawakuona umuhimu ,wengine wagojwa namengineyo Kama hayo...mi 2010 sikupiga Kura nilikua naumwa wanaopata dharura Kama Mimi wako wangapi wachilia wanaopuuzia
 
Mimi kwa mtazamo wangu vyama vya upinzani hususa CHADEMA kifanye yafuatayo:
1:Waendelee kukiimarisha chama hasa maeneo ya vijijini
2:Waendelee kutoa elimu ya uria kwa wananchi hasa suala zima la uchaguzi
3:Waendelee kupigia kelele upatikanaji wa tume huru ya uchaguzi kwani ndiyo kikwazo ktk kujenga demokrasia ya kweli Tanzania
4:Kuomba tume ya uchguzi ku-review daftari la wapiga kura kila mwaka kwa kuwaondoa wale waliopoteza sifa na kuwaingiza wengine wenye sifa mf.vijana wanaotimiza miaka 18.
Hakika hakuna utawala utakoadumu milele na hawa magamba wanafikia mwisho.
 
kama mnaona ni tatizo,hakuzaliwa akiwa Chadema,na hakuna palipoandikwa atakufa akiwa Chadema.Mbona anawasumbua akili,bila kutaja jina lake hamuoni kama mmeongea.
Achana na Majebere. Kwanza haitakii Chadema mema, kwa hiyo hawezi kuja hapa na kutoa ushauri wa manufaa kwa Chadema. Ukiangalia threads zake nyingi ni kuiponda tu Chadema. Slaa amefanya kazi kubwa kuinua Chadema machoni mwa Watanzania, na hili halipingiki.
 
Back
Top Bottom