Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 1,826
- 2,843
Baraza la maaskofu nchini Poland limekataa kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja. Hatua hii inaifanya Poland, Kenya na Malawi kuwa nchi zilizopinga agizo la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki.
SIJASIKIA kauli ya TEC, je, wanaunga mkono kubariki wapenzi wa jinsia moja au la? Au tuwaache kwanza wanashughulikia mkataba wa bandari?
Kama Baba Mtakatifu (kama mnavyomuita) anaruhusu baraka kwa wapenzi wa jinsia moja je, ana sifa za kuendelea kuitwa Mtakatifu?
Je, Yesu angekuwepo duniani zama hizi angewabariki na kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja?
Wote Mnakaribishwa.