Upinzani andaeni maandamano nchi nzima kupinga yanayofanywa na serikali ya CCM

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Kitendo kilichofanywa na serikali kuwahonga wabunge ni kibaya na kamwe hatuwezi kuwavumilia tena,
viongozi wa upinzani naomba mjipange sisi wananchi tupo tayari kuwaondoa hawa watu kwenye bishara ya kuendesha nchi yetu
Kwa kweli tumefika mahali ambapo kama hatuwezi kuvumilia na madharau ya hii serikali
Naomba iteni maandamano nchi nzima kupinga huu uonevu tuwaonyeshe tuna nguvu!!
 
Naunga mkono hoja bila dhihaka yoyote wala ajizi. Mjumbe tupo pamoja; maandamano ya nchi nzima ya kutafuta kuing'oa serikali hii ya kitapeli kushoto kulia huu ndio muda wake mwafaka!!!!!!!!!!!!!!

Rushwa hadi ndani ya Bunge???????????????????????
 
huu ndio wakati wa kuwaonyesha wanafanya makosa kutudharau,
tuwafanyie kweli iwe mfano kwa watakaokuja
 
Naunga mkono hoja! Hali imekuwa mbaya dharau ya serikali kwa wananchi imekubuhu mno. Ni muda muafaka wa kurudisha mamlaka halisi mikononi mwetu...! Wakati ni huu!
 
Bunge ni mhimili mkubwa sana wa serikali, kuhusishwa na rushwa kwa kweli ni kashfa nzito, si ni bunge ndio linatunga sheria? sasa wajue sheria msumeno unakata kote kote, safari hii utakata kwao, wa wawajibishe wote waliohusika bila kuoneana aibu au ile kwao wote.
 
CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Hoyeeeeeeee

Nakumbuka enzi hizo tukiimbishwa kwenye mikutano ya chama cha majambazi.

Doooooooooooooh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ama kwelisikio la kufa halisikii dawa!
 
tuwafanyie kweli,
wanatuchelewesha sana hawa ccm,tunaitaji mabadiliko yatakayoletwa na sisi wenyewe!
 
tuanzishe cha Misri hapa bongo, hatuna serikali wote ni wala rushwa tuu. Pinda maskini hana madaraka yupo pale kuleta porojo tuuu, nahisi hata kumtimua balozi nyumba kumi kumi hawezi khaaaaaa. mliomchagua jk mmetusababishia simanzi kubwa saaana. Tanganyika unadhirika na sisi tupo! cha misri wadau tafadhari tuyatoe majoka haya pangoni
 
nilishangaa wakati mbowe anamwuliza pinda kuhusu umeme last week
kilichonishangaza pinda alikuwa nacheka kwa madharau.tuchukue hatua sasa hivi tumalize hii biashara
 
Wana JF,

Me nilitegemea leo hii huko Dar watu wako Mnazi mmoja kudai kujiuzuru kwa Malima Ngeleja na JK, Egypt ndio Kiboko wali mtoa Mubarak wakaweka mtu mwingine akaleta upuuzi wakaandamana aka resign nae ndio hivyo tulipaswa bila shida Ngeleja leo alikuwa awe nje
 
mimi nashindwa kuelewa kuhusu wapinzani hapa kwetu
wanasubiri jambo lipoe ndio watuhimize tuingie barabarani???
sielewi kabisa!
 
Hayo Maandamano tuaanzisheni sisi wenye tusisubiri mpaka wapinzani waanze, Tutokeni kwa nguvu moja ya kuung'oa utawala wa Kikaburu.
Naunga mkono hayo maandamano yaanze haraka sana
 
Kama Beatrice Sherukindo angekuwa CDM hapa wanazi wa Magwanda wange sumbua sana! Hongera Beatrice Sherukindo hongera wabunge wa CCM kwa kazi nzuri mliyo ifanya jana na Jairo kukalia kuti kavu!
 
Back
Top Bottom