Upigaji kura bungeni sio mzuri

Kanyala

Member
Aug 11, 2012
41
17
Utaratibu wa upigaji kura wa mjengoni haufai maana mwisho wa siku spika anaangalia wapi apendelee, huwezi uliza wanao sema ndio waseme ndio na sio waseme sio halafu unasema fulani wameshinda, ili hali sauti za walio sema sio ziko nyingi.

Hivi zile makrofoni zote zinaweza kuwa detected kule kwenye kiti cha spika sasa kwanini kusiongezwe kutufe cha kupigia kura ambacho mtu anabonyesa zen kuna kuwa na ubao unasoma linakuwa limekwisha, mie nakerwa jamani nyie yaani basi tu.
 
Ile imewekwa maksudi tu kwanza wakati wa chama kimoja ambapo hoja zote ilikuwa ndiyooooooooo.leo baada ya vyama vingi wamegundua bado inawabeba so wanaendelea nayo. Katiba mpya iweke wazi Spika awe mtu huru sio mbunge wa chama chochote. Maana kwa aliyosema Pinda kuhusu RC's&DC's maana yake hata Spika katika hali yoyote lazima atetee chama chake ccm
 
Upigaji kura bungeni umeshaongelewa bungeni na Spika akasema wata install mitambo ya kupigia kura kila mbunge mmoja kura moja na zitatowa majibu instantly. Kuna uwezekanao mkubwa sana kuwa mpaka mwakani hiyo system ikawa tayari.
 
Upigaji kura bungeni umeshaongelewa bungeni na Spika akasema wata install mitambo ya kupigia kura kila mbunge mmoja kura moja na zitatowa majibu instantly. Kuna uwezekanao mkubwa sana kuwa mpaka mwakani hiyo system ikawa tayari.

wata install kwenye laptop!?
 
Unanikumbusha wakati wa Nyerere tulikuwa tunampigia kura mtu mmoja, Ndio au Hapana, kwa maana, ukichaguwa "ndio" ina maana umemkubali na ukichaguwa "hapana" ina maana hapana mwingine zaidi yake yeye.

"Damned if you do damned if you don't".
 
Unanikumbusha wakati wa
Nyerere tulikuwa tunampigia kura mtu mmoja, Ndio au Hapana, kwa maana,
ukichaguwa "ndio" ina maana umemkubali na ukichaguwa "hapana" ina maana
hapana mwingine zaidi yake yeye.

"Damned if you do damned if you don't".

utaratibu huu uko hata mabunge ya ulaya 'the ayes have it!'
 
Juzi wakati wa kufunga bunge, kuna wabunge walisema "ndio" na kuna wabunge walisema "sio", Spika akaamuwa "wote mmeshinda".
 
ulimi ulimteleza!

Hapana, ulimi haukumteleza kwani alirudia mara mbili na kwa kuwaonesha kuwa yeye ndio Spika na anaweza kutoa maamuzi hata wao wakilingana. Maamuzi yake yakawa kuliahirisha bunge mpaka October.

Ujuwe wale wabunge wanaopinga bunge lisiahirishwe, wako serious na hawatanii, akili yao yote iko kwenye POSHO!
 
Hapana, ulimi haukumteleza
kwani alirudia mara mbili na kwa kuwaonesha kuwa yeye ndio Spika na
anaweza kutoa maamuzi hata wao wakilingana. Maamuzi yake yakawa
kuliahirisha bunge mpaka October.

Ujuwe wale wabunge wanaopinga bunge lisiahirishwe, wako serious na
hawatanii, akili yao yote iko kwenye POSHO!

nimekusoma mkuu.
 
NADHANI waliosema NDIO wameshinda!

"Busara ya kiti"
yaani kinyago kinaakili nowadays pamoja na madigirii yote yaliyosheheni.

Huwa siwaelewi wabunge wanapokubaliana "kiti" kiwe na busara, wao wenye uhai wawe misukule!!!!
 
Upigaji kura bungeni umeshaongelewa bungeni na Spika akasema wata install mitambo ya kupigia kura kila mbunge mmoja kura moja na zitatowa majibu instantly. Kuna uwezekanao mkubwa sana kuwa mpaka mwakani hiyo system ikawa tayari.

Hizo ni porojo tu na wale hawawezi kutekeleza kwani huu utaratibu ndio unaowabeba.Itakuwa ni danadana na sababu itakuwa ufinyu wa bajeti.
 
Mdau habari za siku, unakumbuka mada yetu hii ya kura bungeni na majibu yako? nimeona nikukumbushe tu kuwa mwakani ulosema imepita na sioni hata dalili au mie ndiko niko nyuma ya wakati?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom