Huko unaanzaje?Kwa lugha nyepesi kabisa, unatoka kwenye baridi kwenda kwenye joto
Sawa linaweza kufanana, lakini usishangae kuna watu nawafahamu chanzo na watakuja kutusaidia. Hii JF usilolijua hata kwa udogo wake lina jibu humu, name huwa nauliza tu, wapo wanaokebehi nawapo wenye kufahamu na likiwafikia watajibu tu.Hili swali halina utofauti na lile "binadamu alitokana na nini" sawa ngoje tuone.
hewa (air) ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali, gesi hizo ni nitrogen, oxygen, carbon dioxide na gesi zingine. kwa hiyo upepo ni kujongea kwa huo mchanganyiko(hewa)Hivi UPEPO ndio HEWA?! Ni vitu vidogo lakini sielewi, sitachukia kuitwa mjinga, wanaielewa mnieleweshe.
Asante mkuu geografia umeifanyia kaziUpepo ni mwendo wa hewa. Husababishwa na joto la jua. Hewa ikipashwa joto na jua hupanuka huwa nyepesi na kupanda juu. Hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.
Kwa lugha ya metorolojia kuna mwendo kutoka eneo la shindikizo juu la hewa kwa eneo lenye shinikizo duni la hewa.
Kuna aina nyingi za upepo. Upepo mkali huitwa dhoruba. Ikizunguka ndani yake ni tufani, na tufani ikianza baharini ni kimbunga.
Asante sana mkuuhewa (air) ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali, gesi hizo ni nitrogen, oxygen, carbon dioxide na gesi zingine. kwa hiyo upepo ni kujongea kwa huo mchanganyiko(hewa)
Roho yako mbya kwan we unaathirika nn na km hujui c ukae kmya mbuz wa kafara weyan na we unapoteza mda unajibu ...kesho atakuja kuuliza mwanga ni nini
Hyo hewa imetoka wapi?? Origin yake
Duh hili ni somo la Chemisry kuanzia form O level hadi A level Rais wetu alikuwa akilifundishaSawa, hivi wind ndio air?!
najua ni natural lakini sijui origin yake, ni kwasababu dunia inazunguka hivyo tuna upepo au unatoka wapi?