Upelelezi haujakamilika,sasa why upelekwe mahakamani???

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wakuu mimi nina swali,nimekua nikisikia na kufatilia kesi za watu fulani fulani hapa tz,na ktk mala zote huwa kuna kausemi kwamba upelelezi haujakamilika so inapigwa tarehe nyingine,ukipangiwa tar nyingine unaambiwa tena upelelezi haujakamilika.
Sasa kama ushahidi hujakamilika why upelekwe mahakamani?kwanini usikae"lupango"hata kama ni mwaka mzima ili ushahidi/upelelezi ukamilike kwanza?
Wanasheria msaada tafadhari:
 
Kwa mujibu wa sheria ya makosa ya jinai .Polisi wamepewa uwezo wa kukamata na kupeleleza vile vile baada ya kukamata sheria hiyo inawataka kumfikisha mtuhumiwa kwa hakimu baada ya saa 24 toka kukamatwa kwake.Hata na kufikishwa mahakamani polisi haiwazui kufanya upelelezi ukiwa magereza au ukiwa umepata dhamana.
 
wana JF mi nilikamatwa tarehe 27 may 2012 nikaswekwa sell kwa tuhuma yakujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu hadi leo sijapelekwa mahakamani na niko huru ,wakati si kweli mimi ndo nilifungua case ya kuvunjwa kwa mkataba wetu na case iko mahakamani ni aje hii ?
 
Back
Top Bottom