Niliwahi kutoa stori humu kuhusu kidosho fulani ambaye ana jamaa yake, na alikuwa hajisikii raha kuwa naye coz huyo jamaa alikuwa mpole sana. Kama hukuipata ile stori, isome hapa. Sasa baada ya ile stori kutoka, inaonyesha yule jamaa ni member wa JF, na kwa kuwa nilitoa mifano ya karibu sana, kama alishtukia anasemwa yeye. Siku chache baada ya stori ile kutoka, yule jamaa alitafuta kisababu akamchapa yule dada makofi (almanusra amuumize maana jamaa alipiga kama anapiga mwanaume mwenzie). Soon baada ya yule mdada kuchapwa, alimchukia sana yule mwanaume, kutokana na maumivu aliyopata, na akakata mawasiliano naye. Alipokuja kuniambia, nilicheka sana, lakini sikumshauri chochote.
Yule jamaa kuona amekatiwa mawasiliano, akaanza kubembeleza, akatoa na sh 60,000 eti mdada afidie alizotumia hosp kujitibu (mdada hakwenda hosp, bali alimdanganya tu jamaa). Baadae wakarudiana, na nilipokutana na yule mdada akaniambia anajisikia vizuri kurudiana nae na sasa anajiona yuko na "mwanaume". Miezi kadhaa imepita, mdada ananiambia ameanza tena kuboreka, maana mwanaume kawa mpole kuliko hata mwanzoni. Huyu dada anasema alijisikia vizuri sana siku alipochapwa, japo analaumu kuwa alipewa kichapo kikali zaidi. Sasa ivi anasema anaboreka kwa sababu kuna wakati anamkosea mwanaume lakini mwanaume haonyeshi ukali wowote. Anatoa mfano kuwa juzi kati waikuwa wameahidiana kutoka na jamaa yake, lakini baadae mdada alibadili mawazo na kuamua kwenda kukutana na mtu mwingine (sio kucheat lakini). Plan yake ilikuwa ampigie simu jamaa, ampige uongo wa hapa na pale ili asimaindi. Hata hivyo mdada alisahau na ilipofika muda, jamaa yake akatika hostel na kigari chake kumchukua. By that time mdada tayari alikuwa ameshasepa na huyo 'mgeni' mwingine, na alipopigiwa simu akawa hana majibu ya kueleweka zaidi ya kusema yuko kwa shangazi yake. Jamaa alimbana na aksema kuwa anakuja kwa shangazi yake maana alipafahamu. Mdada akakata simu, na akazima. Usiku wake ndo akawasha simu na akampigia jamaa yake, na kama alivyotarajia, akakutana na maswali na karipio la hali ya juu. Mdada alipoona haeleweki, nae akaamua kupandisha na akafika mahali akamwambia "Bwanae, kama umemeindi sana amua utakavyo, maana kwanza nshaona mimi sio riziki yako", akakata simu. (mdada anasema alisema hivyo kumpima tu, lakini anampenda sana na jamaa ndiye analipa ada yote chuo na fedha za matumizi). Mdada alisema hivyo akijua kuwa kesho yake atafanya kazi kubwa ya kubembeleza kwa jamaa, ili asiachwe.
Mdada anasema kilichomboa, na anatamani hata apate mwanaume mwingine mwenye ela, ni kuwa usiku ule ule (saa sita), mwanaume aliwasha gari akaja hostel, akaanza kumbembeleza mdada na kuomba msamaha, eti kwa kumfokea. Huyu mdada anashangaa coz anajua kabisa yeye ndiye alikuwa na makosa, na asingeshangaa kesho yake kama hata angechapwa makofi. Badala yake ameishia kuombwa tena msamaha. Amechoka...
Baadhi ya wanaume mnatuabisha bana...
(kama shemeji umesoma hapa angalia usiende kupiga mdada wa watu bana, but be bold)...