Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Ile hadithi ya Goliati kudhalilishwa na kuuliwa na ka-Daudi inaelekea kutimia, chezea mtu mwenye mungu wewe?!
 
1. Gaidi ni JK na kundi lake, rejea kesi ya Mtikila aliyoshinda mahakamani.
2. Mchochezi ni JK na CCM kwa kuachia na kuulea udini ushamiri nchini.
3. Mgombanishi ni JK na CCM, wanawachonganisha watanzania kwa dini zao na makabila yao.
Mtaweweseka sana kwa JK. Wapo waliodiriki kusema kuwa yeye ni dhaifu na sasa wanathibitishiwa kuwa si dhaifu. Alikuwa anawalea tu lakini wao hawana fadhila
 
Ile hadithi ya Goliati kudhalilishwa na kuuliwa na ka-Daudi inaelekea kutimia, chezea mtu mwenye mungu wewe?!
Kila mtu ni kiumbe wa Mungu na mbora mbele ya mweyezimungu ni mchaji. Tuambie lema yupo kwenye kundi la wachaji Mungu?
 
MAMBO yamezidi kumwendea kombo Mbunge wa Arusha Mjini, (Chadema) Godbless Lema baada ya Jeshi la Polisi kutangaza rasmi kwamba itamfikisha Mahakamani, siku ya Juma tatu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas amema kwamba Mbunge huyo hawezi kuachilia huru kwa sababu mashtaka dhidi yake yameshakamilika na atafikishwa Mahakamani siku ya Juma tatau.

"Hatuwezi kumwachia kwa sababu anatarajia kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili"alisema Sabas.

Wakati Kamanda huyo akitoa msimamo huo, taarifa za ndani ya Jeshi hilo zinaeleza kwamba Mbunge huyo amehojiwa kwa zaidi ya saa nane sasa na bado yuko katika chumba maalum kwa mahojiano zaidi na maofsa wa Polisi huku akitakiwa kuonyesha ujumbe mfupi wa vitisho aliyodaiwa kuwa ametumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo.

Katika hatua nyingine Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Arusha, kimekuwa na kikao kirefu kinachoongozwa na Mkuu wa Mkoa Mulongo na kwamba ajenda kubwa inayojadiliwa ni tukio zima la vurugu zilizotokea katika Chuo cha Uhasibu mkoani humo. Lema alikamatwa usiku wa kuamkia leo baada ya Askari wa Jeshi la Polisi kumfuata nyumbani kwake na kuzingira nyumba yake kabla ya zoezi la kumchomoa ndani ya nyumba hiyo kufanyika.

Mbune huyo anatuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kosa la kuchochea vurugu katika chuo hicho baada ya kutokea mauaji ya Mwanafunzi Henry Koga aliye uawa kwa kuchomwa kisu juzi akirejea chuoni hapo kutoka kwenye matembezi yake, hata hivyo haijajulikana mara moja sababu za kuawa kwa mwanafunzi huyo wala watuhumiwa hawajakamatwa.

My Out Look:
Nazidi kuyasadiki Maneno ya Rafiki yangu SSP Chuwa kuwa Tatizo sio Mulongo.
Yeye ana execute to Matakwa ya Mkulu Dhidi ya Lema.
Ile Issue ya Lema kumpa Live Mkulu kuwa analea Udini imemchoma sana Mkulu.
Wao wana Mamlaka na Fedha, Lema ana Mungu

Mungu wwa wote dada!!kwanini wasipate msukosuko wabunge wengine zaidi ya 300,iwe yeye tu?si mtu mwafaka kwa A town,sisi wangine wa mikoa mingine tunaikubali Arusha sana.sishangai sana hata ujerumani ambae ilikuwa inaogopwa dunia mzima kwa sayansi technology uchumi bora na demokrasia mzuri lkn walimchagua Hitler mpaka leo wanajilamu.
 
Hebu tuambie, kwenye hizi Video hapa Chini, nani amekosa Busara kati ya RC na Lema???

Hapa Lema akiwatuliza Wanachuo

‪Mhe Lema akiwatuliza wanachuo Arusha‬‏ - YouTube

Na Hapa RC akionesha Dharau ya Hali ya Juu kwa Wafiwa (Wanachuo)
‪Mkuu wa Mkoa wa Arusha akizungumza na wanachuo‬‏ - YouTube

Kama kichwa chako kinafanya Kazi Sawa Sawa utaona ni Jinsi gani RC alileta Kiburi Msibani

Mungu hapimwi hivyo Mkuu, Majaribu ya Shetani kwa Mtu wa Mungu ni Kawaida sana, hata Mungu Mwenyewe alimpa Kibali Shetani Kumjaribu Mtumishi wake Ayubu, Lakini itategemea kama utasimama kwenye imani yako, Mfano Ayubu alivyo simama na Lema anavyoendelea Kusimama, ama Lah, unyooshe Mikono na Kumsujudia Shetani (Kitu Ambacho Lema na Ayubu wamekikataa)

Mkuu wahenga walisema kipenda roho hula nyama mbichi,kwako wewe Lema ni malaika.
Kama waona Lema ana ubavu wa kupimana na Mkuu wa Mkoa basi sisi tutabaki kuwa watazamaji.

Picha inaendelea, Lema yuko lupango na Mkuu anapeta.
Haihitaji akili nyingi kuelewa nani anaumia.
 
Mtaweweseka sana kwa JK. Wapo waliodiriki kusema kuwa yeye ni dhaifu na sasa wanathibitishiwa kuwa si dhaifu. Alikuwa anawalea tu lakini wao hawana fadhila

Kumbuka JK hatakaa madarakani milele! Asije kufa kwa pressure baada ya kutoka madarakani au ule ugonjwa wake wa kuanguka KIFAFA utakapomrudia akiwa siyo rais tena!
 
Lema baada kutumiwa sms za vitisho na rc alienda police kutoa taarifa/kufungua kesi au ndo alikimbilia kwenye media
 
Mkuu wahenga walisema kipenda roho hula nyama mbichi,kwako wewe Lema ni malaika.
Kama waona Lema ana ubavu wa kupimana na Mkuu wa Mkoa basi sisi tutabaki kuwa watazamaji.

Picha inaendelea, Lema yuko lupango na Mkuu anapeta.
Haihitaji akili nyingi kuelewa nani anaumia.

Anapeta nn na maaibu na jaziba kibao?
 
MAMBO yamezidi kumwendea kombo Mbunge wa Arusha Mjini, (Chadema) Godbless Lema baada ya Jeshi la Polisi kutangaza rasmi kwamba itamfikisha Mahakamani, siku ya Juma tatu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas amema kwamba Mbunge huyo hawezi kuachilia huru kwa sababu mashtaka dhidi yake yameshakamilika na atafikishwa Mahakamani siku ya Juma tatau.

"Hatuwezi kumwachia kwa sababu anatarajia kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili"alisema Sabas.

Wakati Kamanda huyo akitoa msimamo huo, taarifa za ndani ya Jeshi hilo zinaeleza kwamba Mbunge huyo amehojiwa kwa zaidi ya saa nane sasa na bado yuko katika chumba maalum kwa mahojiano zaidi na maofsa wa Polisi huku akitakiwa kuonyesha ujumbe mfupi wa vitisho aliyodaiwa kuwa ametumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo.

Katika hatua nyingine Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Arusha, kimekuwa na kikao kirefu kinachoongozwa na Mkuu wa Mkoa Mulongo na kwamba ajenda kubwa inayojadiliwa ni tukio zima la vurugu zilizotokea katika Chuo cha Uhasibu mkoani humo. Lema alikamatwa usiku wa kuamkia leo baada ya Askari wa Jeshi la Polisi kumfuata nyumbani kwake na kuzingira nyumba yake kabla ya zoezi la kumchomoa ndani ya nyumba hiyo kufanyika.

Mbune huyo anatuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kosa la kuchochea vurugu katika chuo hicho baada ya kutokea mauaji ya Mwanafunzi Henry Koga aliye uawa kwa kuchomwa kisu juzi akirejea chuoni hapo kutoka kwenye matembezi yake, hata hivyo haijajulikana mara moja sababu za kuawa kwa mwanafunzi huyo wala watuhumiwa hawajakamatwa.

My Out Look:
Nazidi kuyasadiki Maneno ya Rafiki yangu SSP Chuwa kuwa Tatizo sio Mulongo.
Yeye ana execute to Matakwa ya Mkulu Dhidi ya Lema.
Ile Issue ya Lema kumpa Live Mkulu kuwa analea Udini imemchoma sana Mkulu.

Rafiki Yangu SSP Chuwa Akaongeza, "CCM ni Wepesi Mno na Weupe Suala linapofika Mahakani"

Wao wana Mamlaka na Fedha, Lema ana Mungu

Mambo mengine ukiyafikiria unaweza ukadondoka na ukafa, yaani mtu kachomwa kisu kafa hlf polisi wako bize wanafanya siasa badala ya kumtafuta muuaji!
 
Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?

Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?

ona bang'ladeshi jengo limedondoka wanaandamana kwa uzembe wa serikali ila sisi waTz tunaishia kulalamika humu kwenye mitandao
 
Mkuu wahenga walisema kipenda roho hula nyama mbichi,kwako wewe Lema ni malaika.
Kama waona Lema ana ubavu wa kupimana na Mkuu wa Mkoa basi sisi tutabaki kuwa watazamaji.

Picha inaendelea, Lema yuko lupango na Mkuu anapeta.
Haihitaji akili nyingi kuelewa nani anaumia.
Hakuna shujaa na mtetea wanyonge aliyewahi kuona rupango kama mahali pa kuumiza. Wanaohisi maumivu ya huko ni wale waliofanyia madhambi jamii na wanajua hali ya hewa ikibadilika patakuwa ndo makazi for the rest of their life. Wanajitahidi kuzuia huo muda usifike, but for sure uko njia unakaribia kufika.
 
Kwani anashitakiwa na nani jamuhuri,Rc , sisim au huyo mulongo
MAMBO yamezidi kumwendea kombo Mbunge wa Arusha Mjini, (Chadema) Godbless Lema baada ya Jeshi la Polisi kutangaza rasmi kwamba itamfikisha Mahakamani, siku ya Juma tatu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas amema kwamba Mbunge huyo hawezi kuachilia huru kwa sababu mashtaka dhidi yake yameshakamilika na atafikishwa Mahakamani siku ya Juma tatau.

"Hatuwezi kumwachia kwa sababu anatarajia kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili"alisema Sabas.

Wakati Kamanda huyo akitoa msimamo huo, taarifa za ndani ya Jeshi hilo zinaeleza kwamba Mbunge huyo amehojiwa kwa zaidi ya saa nane sasa na bado yuko katika chumba maalum kwa mahojiano zaidi na maofsa wa Polisi huku akitakiwa kuonyesha ujumbe mfupi wa vitisho aliyodaiwa kuwa ametumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo.

Katika hatua nyingine Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Arusha, kimekuwa na kikao kirefu kinachoongozwa na Mkuu wa Mkoa Mulongo na kwamba ajenda kubwa inayojadiliwa ni tukio zima la vurugu zilizotokea katika Chuo cha Uhasibu mkoani humo. Lema alikamatwa usiku wa kuamkia leo baada ya Askari wa Jeshi la Polisi kumfuata nyumbani kwake na kuzingira nyumba yake kabla ya zoezi la kumchomoa ndani ya nyumba hiyo kufanyika.

Mbune huyo anatuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kosa la kuchochea vurugu katika chuo hicho baada ya kutokea mauaji ya Mwanafunzi Henry Koga aliye uawa kwa kuchomwa kisu juzi akirejea chuoni hapo kutoka kwenye matembezi yake, hata hivyo haijajulikana mara moja sababu za kuawa kwa mwanafunzi huyo wala watuhumiwa hawajakamatwa.

My Out Look:
Nazidi kuyasadiki Maneno ya Rafiki yangu SSP Chuwa kuwa Tatizo sio Mulongo.
Yeye ana execute to Matakwa ya Mkulu Dhidi ya Lema.
Ile Issue ya Lema kumpa Live Mkulu kuwa analea Udini imemchoma sana Mkulu.

Rafiki Yangu SSP Chuwa Akaongeza, "CCM ni Wepesi Mno na Weupe Suala linapofika Mahakani"

Wao wana Mamlaka na Fedha, Lema ana Mungu
 
Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?

Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?

Unaongea haya ukiwa umejificha nyuma ya keyboard,yakiitishwa hata maandamano ya kumng'oa mwenyekiti wa mtaa,unajifungia ndani!
 
Sina uoga wowote ila mimi sio bendera fuata upepo kama wewe .

Kama hutaki kudai haki kwa maandamano baada ya kunyimwa haki hiyo kwa njia ya mazungumzo, fungua shule yako, hosipitali yako na huduma zingine muhimu.
 
Back
Top Bottom