Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,760
3,322
Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga.

Hersi ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wake amefeli kufika Group stage ya Caf Champions League hii ni FACT.

Ila Ndani ya msimu huohuo Anaenda kuingia Nusu Fainali ya Caf Confederation Cup kombe ambalo hata simba Ndani ya ile misimu yake Bora imeishiriki ikaishia Robo nako kama ilivyo ada yao.

Tujiulize tu kama ndio mafanikio haya Hersi ameyapata ndani ya msimu mmoja wa uongozi wake je akikaa misimu Minne(4) Yanga si itacheza Fainali ya Caf Champions League.

KIUKWELI PASIPO KUJALI ITIKADI ZA DINI, KABILA, UMRI, JINSIA NA MAHABA YA TEAM FLANI TUMPENI MAUA YAKE HERSI PAMOJA NA UONGOZI WAKE.
 
Uzi mzuri ila ingefaa uu post baada ya gemu kuisha badae , maana Mpira una matokeo ya kikatili sana. All the best Young Africans FC!
 
Utabamba sana Match ikisha Mkuu.
Nikisema nipost baada ya Match naamini kutakua na Mengi..Na watu watasema mi Chawa Wa Hersi acha wanze kuburudika nao saiv.
 
Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga.

Hersi ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wake amefeli kufika Group stage ya Caf Champions League hii ni FACT.

Ila Ndani ya msimu huohuo Anaenda kuingia Nusu Fainali ya Caf Confederation Cup kombe ambalo hata simba Ndani ya ile misimu yake Bora imeishiriki ikaishia Robo nako kama ilivyo ada yao.

Tujiulize tu kama ndio mafanikio haya Hersi ameyapata ndani ya msimu mmoja wa uongozi wake je akikaa misimu Minne(4) Yanga si itacheza Fainali ya Caf Champions League.

KIUKWELI PASIPO KUJALI ITIKADI ZA DINI, KABILA, UMRI, JINSIA NA MAHABA YA TEAM FLANI TUMPENI MAUA YAKE HERSI PAMOJA NA UONGOZI WAKE.
Ukweli mtupu.
 
Back
Top Bottom