Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,511
- 40,604
Mara ya mwisho kupulizia dawa 'fumigation' ilikuwa lini?
Mimi sijawahi kuishi UDOMSAWA, KWAMBA OXYGEN INASHUKA HADI 2%, lakini je, kunguni wapo au hakuna ?
Kujua si lazima liwe limekupata wewe..!! Hata gari huwa tunajua likikugonga unaweza ukafa, lakini hatujawahi kugongwa na gari na tukafa..!!Mimi sijawahi kuishi UDOM
Lakini akiwa nje kachomekea hatari, utafikiri msafi kweliUdom kumezidi
Ukikatiza tu korido karibu na choo
Mungu wangu, unaweza utapike.
.mijitu imeshusha mizigo,, wengine wanalengesha tu wadada wa usafi wakimaliza tu, huyo anaenda tua mzigo wake, hataki kujichosha kwenda kisimani kuvuta maji ya kutosha.
Room za wakaka 90%zinanukaa.. 10% ndio pekee Kuna hali nzuri kiasi.
Wanafunzi ni wachafu kwa kweli.
Majibu ya kijinga kabisa, siamini kama hayo majibu yametokea chuo kikuu.Baada ya memba wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Wadudu aina ya Kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi wa Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM), ufafanuzi umetolewa kutoka kwenye mamlaka ya chuo hicho.
Taarifa ya awali ya Kunguni hii hapa - Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa UDOM, Rose Mdami anajibu madai hayo kwa kusema:
“Ukweli ni kwamba suala hilo halina kweli japokuwa sisi kama Chuo tunaelewa kunapokuwa na wingi wa watu kunakuwa na tishio la magongwa mbalimbali ikiwemo uwepo wadudu hao aina ya Kunguni, ndio maana kina Wanafunzi wanapotoka Chuo kinaingia gharama kubwa ya kupuliza dawa ili kuhakikisha kila kitu kipo sawa.
“Ukija chuoni hata sasa utaona tumefanya kazi kubwa na kila kitu kipo sawa lakini changamoto kubwa tunayoipata ni suala la kusisitiza usafi kwa Wanafunzi wetu, wanapokuja wanakuta mazingira masafi, wanapoanza kuweka vyakula kwenye mabweni ndipo wanapoanza kufuga hao wadudu.
“Uchafu unapokithiri ndipo Kunguni nao wanavyopata nafasi, sisi hatufugi Kunguni ila wanatokana na uchafu.
“Chuo tumeweka watu wanafanya usafi kila kukicha kupitia kampuni, suala la kufanya usafi binafsi ni la mtu binafsi kama kwenye chumba chake anacholala atashindwa kuwa msafi itakuwa sio sawa kwa mtu kwenda kumtandikia kitanda.
“Suala la kunguni ni letu sote, ni wajibu wa Wanafunzi kuwajibika anachukia kuwa na hao wadudu, tunatimiza wajibu wetu kwa kupuliza dawa upande wetu kama tulivyofanya, wanapokuja Wanafunzi waendeleza kwa kila mmoja kuchua tahadhari binafsi.
“Tunaomba Wanafunzi wanapokuta mazingira safi wayaendele kama walivyoyakuta.”
..utakuwa wa hovyo hovyo wewewanafunzi wa udom wengi ni wasukuma ni wachafu kwa asili. Kunguni wanaletwa na uchafu
Kwa akili yake anadhani akisema tu "si kweli" ndiyo inakuwa hivyo.Majibu yake hayajapinga uwepo wa kunguni..!!!