Uongozi wa Rais Samia umeleta matumaini katika maisha ya Watanzania

Watu aina yako na wenye akili kama zako hata wakiwa na mamlaka na madaraka makubwa huishia kuwaumiza,kuwaonea na kuwakandamiza sana wale wote walio kinyume na mitizamo yao.
Hao unaosema wameleta matumaini kwa watanzania si ndo haohao waliomkamata Padre Dkt Slaa na wengine baada ya kuonesha misimamo kinzani kwa watawala?! Nani alimfuta Dkt Slaa hadhi ya ubalozi?! Ni haohao unaosema wameleta matumaini kwa watanzania au unaongelea nchi ingine?
 
Mzee mbona kama hii insha unairudia tena? Unaisifu mamlaka ya uteuzi beyond the limit
 
Ila mama alishakukataeni nyinyi mnao msifia na kusema kuwa mama anaupiga mwingi Baada ya kugundua mnampamba Ili muendelee kuiba

Leo nimepita maeneo ya kamata pale Naona bandali kavu Magali yamejaa kipindi Cha Magufuli pale walikuwa wanalala paka na panya

Lazima mumsifie sana maana Sasa wapugaji mpo huru
Kazi nzuri za Rais samia zinaonekana kwa kila asiye kipofu ,kwa kuwa kila utakakokwenda lazima uone alama za maendeleo za Rais samia. Ndio maana unaona akiimbwa na kupongezwa na kila mtu mwenye akili huru.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi wa Rais samia umeleta matumaini katika maisha ya watanzania,umekuwa nuru kwa wanyonge,umekuwa faraja kwa waliokata Tamaa,umekuwa Neema kwa wengi na umekuwa baraka kwa Wote na kuleta furaha katika mioyo ya watanzania. Kwa sasa watanzania wengi sana wana matumaini ya kufanikiwa kimaisha na kila mtu anamatumaini ya kutimiza ndoto zake. kutokana na mazingira wezeshi yaliyo tengenezwa na Rais samia na serikali yake.

Ikumbukwe ya kuwa hakuna jambo linakatisha Tamaa kwa mwanadamu kama kukosa matumaini katika maisha,hata mgonjwa akikosa matumaini hawezi akachukua muda mrefu kuishi hapa Duniani. matumaini huamsha morali katika moyo wa mtu ,huleta nguvu ,huchochea mtu kujituma na kutokukata Tamaa katika jambo fulani hata kama anapitia magumu na vikwazo viliaje ,lakini ni lazima atang'ang'ana kusonga mbele na kupambana kwa kuwa anauona na ana matumaini ya kupata ushindi mbele yake.

Kila mtanzania kwa sehemu yake ana amani kwa kuwa anaona akikaribia kufika kilele cha mafanikio yake,hii ni kutokana na serikali ya Rais samia kuwa muwezeshaji wa watanzania kila mmoja kwa Eneo lake,hii ndio maana unaona serikali ikiwekeza katika ujenzi wa miundombinu ili wakulima wasafirishe mazao yao kwenda sokoni bila shida, hii ndio maana unaona serikali ya Rais samia ikitoa Elimu bure ili kujenga matumaini hata kwa watoto maskini yakuja kupata Elimu mpaka pale wanapohitaji kufika, hii ndio maana serikali ya Rais samia inaboresha huduma za afya katika hospitali za serikali ili watu waone kuwa wanaweza kupata matibabu na huduma nzuri katika hospitali zao na kupona maradhi hata pasipo kwenda hospitali za binafsi ambazo wengi wanashindwa kutokana na gharama kuwa kubwa kwa baadhi ya hospitali.

Hii ndio maana serikali inaboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na kuwa na uhakika wa kupata stahiki zao na malipo yao kwa wakati pamoja na viinua mgongo vyao. Hii ndio sababu ya kuona kila mtanzania anachapa kazi na kuwa na matumaini ya kufaidika na jasho lake,hii ndio maana unaona Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu pasipo manung'uniko kutoka kwa watu ,kwa kuwa hakuna aliyefungwa kamba katika shughuli anayoifanya,kila mtu ana nafasi ya kupata fedha na kupata utajiri. Aliye chini ana nafasi ya kupanda juu pasipo kushushwa na serikali ,lakini pia aliye juu anayo nafasi ya kukua zaidi kulingana na juhudi zake mwenyewe.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Huu ni utani kabisa. Umeme hakuna+ Bima ya Afya juu+ DP World+ ripoti ya CAG+Bei ya mafuta na bidhaa zingine juu. Halafu unasema kuna neema? Wewe upo Tanzania kweli?
 
Umeme upo labda ungesema changamoto ndogo ndogo za kukatika kwa baadhi ya muda .habari za bidhaa kuwa juu ilitakiwa useme ni bidhaa zipi hizo maana kwa sasa wakenya wanakimbilia Tanzania kununua mafuta kutokana na kwao bei ya mafuta kuwa juu sana.
 
Yaani wewe una propaganda za kishenzi na kijinga sana. Wewe ni pepo wakala wa shetani au shetani mdogo ukimfagilia shetani mkuu aliyekalia kiti cha ikulu yetu takatifu siyo..??

Hivi wananchi tuwe na matumaini gani katikati ya giza la ukosefu wa umeme nchi nzima..?

Siyo hilo tu la umeme. Ila watu wawe na matumaini gani katikati ya shida na changamoto lukuki zinazokabili nchi huku huku hilo liji - mama lenu likiwa limejikalia tu kana kwamba nchi iko shwari..??

Hebu tuambie ni kwanini Kuna shida ya umeme nchini wakati miaka michache iliyopita wakati wa utawala wa Rais John P. Magufuli (2015 - 2021) tatizo liliisha kabisa na kila mtu kuona nchi ikiwa na mwelekeo sahihi kabisa kwenye sekta ya nishati ya umeme? Kuna nini kinafanyika ikulu kiasi cha kugeuza kila kitu upside down?
 
Nitakukibu kulingana na akili yako kuwa fupi,Japo umeandika kwa lugha iliyokosa adabu na heshima na inayoonyesha kuwa wewe ni mtu mwenye matatizo ya akili .Suala la kufananisha hali ya umeme kwa miaka iliyopita na sasa ni ujinga mtupu ,kwa sababu lazima ufahamu matumizi ya umeme kwa sasa yameongezeka sana kutokana na kuongezeka kwa shughuli za uzalishaji zinazotegemea umeme. Jambo ambalo ni zuri linaloonyesha ukuaji wa uchumi wetu kutokana na kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi.

Pili lazima ufahamu kuwa kwa sasa kuna mabadiliko ya hali ya hewa ambapo tumekuwa tukikumbwa na ukame katika maeneo mengi,hali inayopelekea kina cha maji katika mabwawa yetu kupungua sana na hivyo kuathiri uzalishaji wa umeme.Jii ndio maana serikali yetu inaendelea kufanya jitihada za kuongeza vyanzo vya kuzalisha umeme kama vile umeme wa gas na jua badala ya kutegemea umeme wa maji pekee.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi wa Rais samia umeleta matumaini katika maisha ya watanzania,umekuwa nuru kwa wanyonge,umekuwa faraja kwa waliokata Tamaa,umekuwa Neema kwa wengi na umekuwa baraka kwa Wote na kuleta furaha katika mioyo ya watanzania. Kwa sasa watanzania wengi sana wana matumaini ya kufanikiwa kimaisha na kila mtu anamatumaini ya kutimiza ndoto zake. kutokana na mazingira wezeshi yaliyo tengenezwa na Rais samia na serikali yake.

Ikumbukwe ya kuwa hakuna jambo linakatisha Tamaa kwa mwanadamu kama kukosa matumaini katika maisha,hata mgonjwa akikosa matumaini hawezi akachukua muda mrefu kuishi hapa Duniani. matumaini huamsha morali katika moyo wa mtu ,huleta nguvu ,huchochea mtu kujituma na kutokukata Tamaa katika jambo fulani hata kama anapitia magumu na vikwazo viliaje ,lakini ni lazima atang'ang'ana kusonga mbele na kupambana kwa kuwa anauona na ana matumaini ya kupata ushindi mbele yake.

Kila mtanzania kwa sehemu yake ana amani kwa kuwa anaona akikaribia kufika kilele cha mafanikio yake,hii ni kutokana na serikali ya Rais samia kuwa muwezeshaji wa watanzania kila mmoja kwa Eneo lake,hii ndio maana unaona serikali ikiwekeza katika ujenzi wa miundombinu ili wakulima wasafirishe mazao yao kwenda sokoni bila shida, hii ndio maana unaona serikali ya Rais samia ikitoa Elimu bure ili kujenga matumaini hata kwa watoto maskini yakuja kupata Elimu mpaka pale wanapohitaji kufika, hii ndio maana serikali ya Rais samia inaboresha huduma za afya katika hospitali za serikali ili watu waone kuwa wanaweza kupata matibabu na huduma nzuri katika hospitali zao na kupona maradhi hata pasipo kwenda hospitali za binafsi ambazo wengi wanashindwa kutokana na gharama kuwa kubwa kwa baadhi ya hospitali.

Hii ndio maana serikali inaboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na kuwa na uhakika wa kupata stahiki zao na malipo yao kwa wakati pamoja na viinua mgongo vyao. Hii ndio sababu ya kuona kila mtanzania anachapa kazi na kuwa na matumaini ya kufaidika na jasho lake,hii ndio maana unaona Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu pasipo manung'uniko kutoka kwa watu ,kwa kuwa hakuna aliyefungwa kamba katika shughuli anayoifanya,kila mtu ana nafasi ya kupata fedha na kupata utajiri. Aliye chini ana nafasi ya kupanda juu pasipo kushushwa na serikali ,lakini pia aliye juu anayo nafasi ya kukua zaidi kulingana na juhudi zake mwenyewe.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hivi wewe pamoja na kuandika magazeti yote hayo, mbona sijaona ukikosoa, kila siku ni kusifia sifia tu, unawakera hata hao unaowasifi sasa.
 
Umeme upo labda ungesema changamoto ndogo ndogo za kukatika kwa baadhi ya muda .habari za bidhaa kuwa juu ilitakiwa useme ni bidhaa zipi hizo maana kwa sasa wakenya wanakimbilia Tanzania kununua mafuta kutokana na kwao bei ya mafuta kuwa juu sana.
Unadhani kwa kusifia kila kitu ndio unaisaidia Serikali? Hakika hata wao watakudharau. Ongelea ukweli ili wahusika waweze kuyarekebisha na si kusifiasifia kila kitu.
 
Upo huru kuyaongelea hayo unayoona sijayaongea hapa kwa mtizamo wako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi wa Rais samia umeleta matumaini katika maisha ya watanzania,umekuwa nuru kwa wanyonge,umekuwa faraja kwa waliokata Tamaa,umekuwa Neema kwa wengi na umekuwa baraka kwa Wote na kuleta furaha katika mioyo ya watanzania. Kwa sasa watanzania wengi sana wana matumaini ya kufanikiwa kimaisha na kila mtu anamatumaini ya kutimiza ndoto zake. kutokana na mazingira wezeshi yaliyo tengenezwa na Rais samia na serikali yake.

Ikumbukwe ya kuwa hakuna jambo linakatisha Tamaa kwa mwanadamu kama kukosa matumaini katika maisha,hata mgonjwa akikosa matumaini hawezi akachukua muda mrefu kuishi hapa Duniani. matumaini huamsha morali katika moyo wa mtu ,huleta nguvu ,huchochea mtu kujituma na kutokukata Tamaa katika jambo fulani hata kama anapitia magumu na vikwazo viliaje ,lakini ni lazima atang'ang'ana kusonga mbele na kupambana kwa kuwa anauona na ana matumaini ya kupata ushindi mbele yake.

Kila mtanzania kwa sehemu yake ana amani kwa kuwa anaona akikaribia kufika kilele cha mafanikio yake,hii ni kutokana na serikali ya Rais samia kuwa muwezeshaji wa watanzania kila mmoja kwa Eneo lake,hii ndio maana unaona serikali ikiwekeza katika ujenzi wa miundombinu ili wakulima wasafirishe mazao yao kwenda sokoni bila shida, hii ndio maana unaona serikali ya Rais samia ikitoa Elimu bure ili kujenga matumaini hata kwa watoto maskini yakuja kupata Elimu mpaka pale wanapohitaji kufika, hii ndio maana serikali ya Rais samia inaboresha huduma za afya katika hospitali za serikali ili watu waone kuwa wanaweza kupata matibabu na huduma nzuri katika hospitali zao na kupona maradhi hata pasipo kwenda hospitali za binafsi ambazo wengi wanashindwa kutokana na gharama kuwa kubwa kwa baadhi ya hospitali.

Hii ndio maana serikali inaboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na kuwa na uhakika wa kupata stahiki zao na malipo yao kwa wakati pamoja na viinua mgongo vyao. Hii ndio sababu ya kuona kila mtanzania anachapa kazi na kuwa na matumaini ya kufaidika na jasho lake,hii ndio maana unaona Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu pasipo manung'uniko kutoka kwa watu ,kwa kuwa hakuna aliyefungwa kamba katika shughuli anayoifanya,kila mtu ana nafasi ya kupata fedha na kupata utajiri. Aliye chini ana nafasi ya kupanda juu pasipo kushushwa na serikali ,lakini pia aliye juu anayo nafasi ya kukua zaidi kulingana na juhudi zake mwenyewe.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Lucas, uzalendo na kujikomba ni vitu viwili tofauti. Mzalendo ni yule aliyeko tayari kuifia nchi yake na kuitetea. Ni mtu asiyeogopa kukosoa na pengine kukemea bila woga kwa maslahi ya taifa. Si mtu anaesifiasifia tu hata pale Rais au kiongozi wa serikali anapofanya maamuzi yasiyo sahihi.

Wewe kila siku unasifia tu hata pale serikali inapofanya maamuzi ya hovyo. Tukipiga kelele na hayo maamuzi kutenguliwa, huwa watu wa kwanza kupongeza....Rais ni msikivu nk kama ilivyokuwa kwenye tozo na DP world.

Ni kwanini unajiita mzalendo na mpenda nchi na namba ya simu juu.? Unatoa hiyo no. ukitemea uteuzi ili mteuzi hasipate shida kukupata? Kwa tabia yako hiyo ukiteuliwa hata kwenye nafasi ndogo, basi aliyekuteua naye hana akili. Yaani unajipendekexa hadi shetani anaona aibu.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi wa Rais samia umeleta matumaini katika maisha ya watanzania,umekuwa nuru kwa wanyonge,umekuwa faraja kwa waliokata Tamaa,umekuwa Neema kwa wengi na umekuwa baraka kwa Wote na kuleta furaha katika mioyo ya watanzania. Kwa sasa watanzania wengi sana wana matumaini ya kufanikiwa kimaisha na kila mtu anamatumaini ya kutimiza ndoto zake. kutokana na mazingira wezeshi yaliyo tengenezwa na Rais samia na serikali yake.

Ikumbukwe ya kuwa hakuna jambo linakatisha Tamaa kwa mwanadamu kama kukosa matumaini katika maisha,hata mgonjwa akikosa matumaini hawezi akachukua muda mrefu kuishi hapa Duniani. matumaini huamsha morali katika moyo wa mtu ,huleta nguvu ,huchochea mtu kujituma na kutokukata Tamaa katika jambo fulani hata kama anapitia magumu na vikwazo viliaje ,lakini ni lazima atang'ang'ana kusonga mbele na kupambana kwa kuwa anauona na ana matumaini ya kupata ushindi mbele yake.

Kila mtanzania kwa sehemu yake ana amani kwa kuwa anaona akikaribia kufika kilele cha mafanikio yake,hii ni kutokana na serikali ya Rais samia kuwa muwezeshaji wa watanzania kila mmoja kwa Eneo lake,hii ndio maana unaona serikali ikiwekeza katika ujenzi wa miundombinu ili wakulima wasafirishe mazao yao kwenda sokoni bila shida, hii ndio maana unaona serikali ya Rais samia ikitoa Elimu bure ili kujenga matumaini hata kwa watoto maskini yakuja kupata Elimu mpaka pale wanapohitaji kufika, hii ndio maana serikali ya Rais samia inaboresha huduma za afya katika hospitali za serikali ili watu waone kuwa wanaweza kupata matibabu na huduma nzuri katika hospitali zao na kupona maradhi hata pasipo kwenda hospitali za binafsi ambazo wengi wanashindwa kutokana na gharama kuwa kubwa kwa baadhi ya hospitali.

Hii ndio maana serikali inaboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na kuwa na uhakika wa kupata stahiki zao na malipo yao kwa wakati pamoja na viinua mgongo vyao. Hii ndio sababu ya kuona kila mtanzania anachapa kazi na kuwa na matumaini ya kufaidika na jasho lake,hii ndio maana unaona Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu pasipo manung'uniko kutoka kwa watu ,kwa kuwa hakuna aliyefungwa kamba katika shughuli anayoifanya,kila mtu ana nafasi ya kupata fedha na kupata utajiri. Aliye chini ana nafasi ya kupanda juu pasipo kushushwa na serikali ,lakini pia aliye juu anayo nafasi ya kukua zaidi kulingana na juhudi zake mwenyewe.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Jivi huu ugumu wa maisha ninao pambana nao ni mimi peke yangu au uchawi upo?
 
Matumaini yapi unayozungumzia? Mgao wa umeme au kitu gn? Wakati dunia ikiwa inakimbilia kwenye fourth industrial revolution Sisi bado tunapiga mark time na kuteua na kutengua? This is surreal..
 
Kubwa jinga as usual! Kwa kuandika ujinga humu nobody like you.
 
Hivi unajua hao unaowaandikia ni Watanzania na ndo hao hao wananchi ambao wanazijua changamoto zinazowakumba kwenye jamii.Jaribu kufwatilia maandiko yako uone kuwa Watanzania wengi wanakubaliana na sifa unazotoa kwa uongozi huu ama la.

Kiuhalisia ni kwamba Watanzania ambao ndo wananchi wenyewe wengi wao wanakupinga, fanya research. Wewe tatizo lako unataka watu wakubaliane na mtazamo wako ambao umekaa kichumia tumbo na kichawa. Matatizo yamekuwa mengi kuliko maendeleo katika awamu hii ya uongozi. Unataka kutuambia maendeleo yapi hayo yamefanywa na uongozi huu tunayoyaona sisi?

Hivi ni miradi gani itakayoenda kunufaisha wananchi moja kwa moja uongozi huu umeanzisha zaidi ya kuendelea na ile aliyo acha magufuli na mingine imeshindikana kuikamilisha kwa mda uliotakiwa kwenye mkataba. Kuna shughuli gani za uchumi zinazofanya umeme uwe tatizo, mbona kipindi cha magufuli shughuli za kiuchumi zilikuwa nyingi na tatizo hili la umeme lilianza kuisha.

Je kipindi cha kikwete si lilikuwepo je kipindi kile na kipindi cha magufuli ni kipindi gani shughuli za kiuchumi zilikuwa nyingi?

Kwa sasa Watanzania wameelevuka itabidi utumie nguvu nyingi sana kuwapotosha na hutaweza. Lakini sishangai maana ni kawaida kukuta watu ambao hujiona wajuzi mbele ya wajinga wenzao lakini kumbe ni wajinga mbele ya waelevu.
 
Back
Top Bottom