johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,021
Ukiwachambua Viongozi wa Dunia hii falsafa na Tabia Zao lazima ziangukie kwa mmoja Kati ya Kaisari Agusto, Mfalme Herode au Gavana Pontio Pilato
Nitaleta kwenu historia Zao ila kwa wasiomjua Kaisari Agusto alikuwa ni mtu jasiri mwenye kupenda Watu na maendeleo lakini asiyetaka Ujinga na mambo ya kurudishana nyuma, Waitaliano walimwita Dikteta Mwenye Huruma
Na kwa ufupi Sana Pontio Pilato alikuwa ni Kiongozi mwoga, asiyejiamini na anayependa kufurahisha pande zote bila kusimama katika kweli
Mfalme Herode alikuwa ni Kiongozi Katili kwa asilimia zote
Mlale Unono!