Uongozi ni kipaji siyo vyeti hata Dr Slaa hana degree!

Watetezi wa Bashite wana vichwa vigumu kuelewa sawa na Bashite mwenyewe ambae darasa la nne alidunda; la saba alidunda kidato cha nne alidunda!!! Yaani watetezi wa Bashite hadi leo wanadhani hoja dhidi ya Bashite ni kufeli kwa Bashite!!!

Maskini watetezi wa Bashite hadi leo hawajafahamu kwamba hoja dhidi ya Bashite sio kufeli bali kughushi vyeti!! Ni kutokana na ukweli huu ndo maana nashauri hawa watetezi wa Bashite watambuliwe!!!! Hawa ni viumbe adimu sana duniani na katu huwezi kuwapata popote pale zaidi ya hapa kwetu!!! Ni urithi wa taifa huu; wallah tena!!!
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Hahahahaaaaa """DR"""hana digrii.....akawaje Dr.
futa hii uzi kabisa.....
 
Kama uongozi ni talanta kwanini Magufuli anakomaa na watumishi walioghushi vyeti lakini bado wamefanya jazi kwa miaka mingi na utumishi wao haukutiliwa mashaka?
Pamoja na kuwa uongozi ni kipaji lakini haitoshi mwenye ufahamu mdogo akaongoza wenye elimu ya kutosha maana katika baadhi ya majukumu lazima ayumbe na kufanya tofauti na inavyotakiwa.
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
ni kipaji ndio lkn uwe msafiii.......!! huwezi kuwa mchapa kazi kisha unakuwa na mafyongofyongo ,na we unatakiwa usimamie yaondoke kumbe nawe ni mmoja wao wa hayo mafyongofyongo ... je utatenda haki kweli........?
 
Tatizo ni uwizi wake wa vyeti angekuwa hata darasa la nne sawa tu...kuiba cheti cha Paulo na kujifanya wewe Paulo kumbe wewe daudi
Tatizo sio uwizi wa cheti tatizo ni uongozi wake mbaya ndio ulioleta yote haya hadi aje kutoka nchi, mambo ya vyeti ttusingekaa tuyajue kama angekua kiongozi mwenye nidhamu na utu kilichomponza ni makalio kulia mbwataa nakujisahu hilo tuu.
 
Mbona mnajitoa ufahamu hivyo...?

Hayo yote tunayajua, tatizo ni kwenye kutumia cheti cha mtu mwingine.

Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
 
FB_IMG_1489493234259.jpg

Kutumia vyeti vyako orijino raha sana.

Hivi RC anashindwa nini kufanya hivi kama huyu jamaa?
 
Hapa kikubwa ni udanganyifu.. Kufoji vyeti hapa ndio tatizo na sio elimu ya mtu.

Kenge maji!
 
Tatzo nn kwan ttzo c vyeti 2? Au kuna lingne mbona zito walisema hana shule akatoa vyeti vyake mbona ttzo hapa hakuna cc vyeti bac mchezo uanze mwingne au ww huja ona hewa ya wafanyakz na wanafunzi?
 
Daudi Basite ni Std 7 tu baasii ,mengine yote ni Paulo ndie anajulikana kutokana na vyet vyake
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Haaa haaaa haaaa kuna wakati inabidi tucheke tu Maana hatuna namna. Tutajie Huyo kuuza nganda mkubwa aliyekamatwa Na Makonda. (Wema, TID, petit man, rommy) Kama unamaanisha MANJI Itakuwa una matatizo Maana Manji kosa lake ni kutumia. Na kosa la kuuza Nganda halina DHAMANA imekuwaje wote waliotajwa Na MAKONDA wawe nje kwa dhamana Na adhabu yake ya sasa ni kifungo cha maisha au miaka 30 Kama sikosei. Tukija ktk Vyeti Sisi hatuna shida Na uongozi wa Makonda Na Sisi wengine akibaki au asibaki hatuoni tofauti akili za CCM ni sawa . Tatizo letu Na Makonda ni kughushi vyeti.Dk Slaa hajaghushi vyeti. Kuhusu uthubutu Na ubunifu Makonda ni Zero. Hakuna alilosimamia Likawa.

1:usafiri bure kwa walimu
2:eek:peration ya nyumba kwa nyumba kutafuta wasio Na kazi
3:usafi wa kila jumamosi
4:kukamata mateja badala ya wauza unga
 
Kutetea swala la wizi wa vyeti unatakiwa uwe kama chizi! nafikiri hiki nacho ni kipaji!
Kuna mambo hayahalalishiki hata kwa kukesha ukipaza sauti!
 
Haaa haaaa haaaa kuna wakati inabidi tucheke tu Maana hatuna namna. Tutajie Huyo kuuza nganda mkubwa aliyekamatwa Na Makonda. (Wema, TID, petit man, rommy) Kama unamaanisha MANJI Itakuwa una matatizo Maana Manji kosa lake ni kutumia. Na kosa la kuuza Nganda halina DHAMANA imekuwaje wote waliotajwa Na MAKONDA wawe nje kwa dhamana Na adhabu yake ya sasa ni kifungo cha maisha au miaka 30 Kama sikosei. Tukija ktk Vyeti Sisi hatuna shida Na uongozi wa Makonda Na Sisi wengine akibaki au asibaki hatuoni tofauti akili za CCM ni sawa . Tatizo letu Na Makonda ni kughushi vyeti.Dk Slaa hajaghushi vyeti. Kuhusu uthubutu Na ubunifu Makonda ni Zero. Hakuna alilosimamia Likawa.

1:usafiri bure kwa walimu
2:eek:peration ya nyumba kwa nyumba kutafuta wasio Na kazi
3:usafi wa kila jumamosi
4:kukamata mateja badala ya wauza unga
Bila kusahau ombaomba wamerudi kama kawa.
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Boya wewe dr atakosaje PhDs
 
Back
Top Bottom