Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Temeke wajiunga na ACT

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Hii sasa ni hatari na inatisha. Taarifa nilizozipata mda huu ni kwamba uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Temeke umefungasha virago na kuhamia chama cha Alliance for Change and Tranceparency ACT.

Ngoma inogile, ACT inatwanga kote kote.
 
Jamani, hebu zindukeni, na muache kutumiwa kama misukule. Chagadema sio chama cha siasa ni saccos ya Mtei na familia zao akiwemo mkwewe Mbowe.

Join Date : 6th July 2014
Posts : 90

Rep Power : 320

Likes Received
24
Likes Given
0

Ndio maana.
 
Ukiona watu wanakimbilia kujenga na kulala makaburini hao ni wachawi tangu lini watu wakahamia kwa wafu?

Ukiona watu wanahamia chama kisicho na mizizi wala kujulikana wala kuaminika niwazi wananjaa, hawajitambui

na hawajui wanaelekea wapi au wanataka nini. Hizi propaganda watanzania hawatababaishwa nazo na majibu

yatadhihilika. CDM itapaa na kuenea zaidi kwa ujinga huu na huu upumbavu utazidisha umaarufu wa cdm maradufu.
 
Yes. Ukombozi ubahitaji kujinyima sasa hao wafata ubwabwa na futari za ccm. Walikuwa na sababu kuwa cdm ila njaa na ahadi hewa ndo tatizo.
Unaambiwa ccm inawenyewe
 
ok
.jpg
.jpg
 
Hii sasa ni hatari na inatisha. Taarifa nilizozipata mda huu ni kwamba uongozi mzima wa chadema wilaya ya temeke umefungasha virago na kuhamia chama cha Alliance for Change and Tranceparency ACT...ngoma inogile, ACT inatwanga kote kote.

Tumekusikia eeeh sasa nenda kalaleee! Usisahau kususu eeeh.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Makonda, kunakitu kizuri sana unalifahamisha taifa letu kwa taarifa zako za Uongozi wa CHADEMA wa Kigoma, Ubungo na sasa Temeke kuhamia ACT leo! kote huko wewe umekuwa wa kwanza kupata habari na kuzileta JF kwa shangwe. Sasa tunafahamu kwamba hizi ni propaganda za CCM kwa mwamvuli wa ACT. Usijidanganye kwamba unaweza kumuua tembo kwa ubua. Umebugi step man!
 
Hii Habari km ni Kweli ni mbaya sana kwa ustawi wa CDM
 
Back
Top Bottom