uongo wa CCM na matumizi mabaya ya vyombo vya habari Chato

miongoni mwa uongo wa kisiasa ndo huu! Can yu imagine 150 at once!!!! Kitu ambacho hakiwezekani kabisa!
 
Nina mashaka makubwa na hizo kadi kwani kama nilivyoziona ITV zote ni mpya. Zimegawanywa ni huyu jamaa anayeleta propaganda za kikabila. Shame on him.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
samahani sijaona hio kitu unaweza kunifafanulia??
jumuia ya wazazi ya ccm imefanya mkutano wao huko geita na moja kati ya yaliyotokea ni wanaojiita wanachama zaidi ya 150 kutoka chadema wamehamia ccm kihija ni pale kamera man wa itv alipi fanya zooming katika khanga iliyo tumika kukusanyia hizo kadi za chadema hakuna hata kadi moja iliyo choka (yaani iliyo tumika zote ni mpya) na hazijikunji kila ikiwekwa kwenya khanga inajinyoosha yenyewe.
 
Kilichobaki kwa sasa kwa CCM ni kuhadaa umma kwani kadi walizozionyesha hazina hata stika moja si ya kiingilio wala Ada. Vile vile kadi zenyewe zinaonyeshwa kwa kufunikwa. kwanini wasionyeshe sehemu ya majina?

Viongozi wa CCM acheni ujinga hayo ni mambo ya kizamani ya kudanganya mchana kweupe. Hata huyu anayeijiita m/kiti wa wazazi hana sifa ya kuwa mzazi kama anaweza kusimama hadharani na kudanganya kwa kiasi hicho.:rockon:
 
Hatuziwazii hizo kamanda,tunajua mchezo huo walitakiwa kuanzia iringa miezi mitatu iliyopita inshu ikavuja,wakataka waipeleke kigoma kwenye maazimisho ya chama chao wakaumbuliwa mapema baadaya kutofautiana kwenye hela ikavuja wakaona wafanye matukio haya yaliyopita kumteka mhariri na kutafuta wampeje lwakatare alafu eti waanzie sasa mkoani kagera. Sasa wanasahau hata maandiko yalituambia nini wakati wa ujenzi wa mnara wa babel? Na bado wana mipango mingisana lakini tuko macho!
 
miongoni mwa uongo wa kisiasa ndo huu! Can yu imagine 150 at once!!!! Kitu ambacho hakiwezekani kabisa!

mbona swala hili liko wazi kabisa kuwa baada ya bwana mkubwa kupanga ziara waliandaliwa watu maalumu kwa ajili ya kuchonga mchongo wa kumuingiza bwana mkubwa choo cha kike.
 
Ni kitu kibaya sana kudanganya watu kuwa huumwi ilihali wewe mwenyewe unajua ni mgonjwa mahtuti. Wewe unadhani ni lini utashtuka kuanza kutafuta tiba? Sasa endeleeni kujidanganya.
 
Mkuu ndiyo siasa za Tanzania vumilia hata CCM wanalalamika pia kwenye mikutano ya Chadema kuna kadi mpya za CCM ndiyo zinarudishwa.
 
Leo nimeshangaa kuona kadi za CHADEMA mpya tu ndo zinarudishwa alafu zote na inasemekana watu hao wamejifika gamba.

Nilichopenda kwa watu hao walio jivika gamba ni utunzaji uliotukuka.

Kadi ya Dr. Slaa ya CCM bado mpya au imechakaa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mbona swala hili liko wazi kabisa kuwa baada ya bwana mkubwa kupanga ziara waliandaliwa watu maalumu kwa ajili ya kuchonga mchongo wa kumuingiza bwana mkubwa choo cha kike.

endelea kukundana hapa ukidhani huku geita ni kama huko kaskazini.
 
Watu wa Geita wamechoka kufundishwa kutukana na kuandamana wanataka sera.

Mkuu mbona zile kadi zote na mpyaaaa ina maana hao vijana walizinunua hizo kadi siku 1, au baada ya kununuliwa walikuwa wanazitunza sehemu moja ili zisichafuke, kwa maana ni mpya sana...
 
Hiyo ni kweli kabisa kwasababu viongozi wa ccm walikuja ofisini kwangu wakanipa deal ya kuprint card 200 za CDM lakini Bahati mbaya nilikuwa nimebakiwa na material ya card 100 tu

hakuna kiongozi wa ccm anayeweza kufanya huo ujinga..nyie tulieni tu mdungwe sindano
 
Kadi ya Dr. Slaa ya CCM bado mpya au imechakaa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nawasiwasi nawewe kama sio omba omba pale lumumba basi sio raia uko ccm kwa kuogopa kuulizwa uraia kama wenzio au mzee msafiri ni babayako mdogo kwa mamayako mzazi au ndio watumwa wa kupeleka mzigo wa jangiri china
 
Mpaka ifike 2015, CHADEMA itabaki na Mh. Mbowe, Mtei, Dr. Slaa na Josephine.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom